Wewe si Nassoro aka JITU BANDIA ahaa kumbe mechanganyaNAULIZA TU WAZALENDO WAISLAMU WAPO WAPI ππππSI TULIAMBIWA WAO NDIYO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KUPIGANIA UHURU NA HAKI NCHI πππππ©π©π©π©π©
GENIUS HUWA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMAGA ...Nilipo waambia watz hapa JF na Chadema walipinga na awakuweza kunielewa ...niliwaambia kuwa SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM .....Hii dhana imebeba siri ya yote yanayo endelea sasa ....kwa hii siri utajua samia ni nani na walio nyuma yake ni kina nani? adriz The Consigliere FaizaFoxy Malaria 2 Al-mukheef The Icebreaker Covax Jagina
Ndiyo nani huyo ..tushushe wahyWewe si Nassoro aka JITU BANDIA ahaa kumbe mechanganya
Nilitaka kumaanisha wengi hawajaenda shule ya masuala ya kiduniaUlitaka kumaanisha Masheikh wengi ni illiterates au?
Namaanisha elimu dunia. Wengi wame-base kwenye dini kwenye masuala ya kidunia ni watupu*kipengele
Sasa mtu anakuwaje Sheikh bila ya Elimu ya Dini? Au Elimu kwako ni Sekula tu?
Katika Uislam kuna vigezo vya kiwango cha Elimu ili mtu awe Sheikh. Ni kweli hatupaswi kupeana majina ya Sheikh kama mtu hajafikia kiwango fulani cha Elimu ya Dini na akawa hana fani fulani za Elimu ya Dini.
Nilitaka kumaanisha wengi hawajaenda shule ya masuala ya kidunia
Lakini wao si viongozi wa DINI? Cha lazima kwao kukijua ili wawe Masheikh wa Dini ni nini?Namaanisha elimu dunia. Wengi wame-base kwenye dini kwenye masuala ya kidunia ni watupu