monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa ajili ya michuano ya Kivumbi Cup 2020 amabayo mshindi ataondoka na 20M/=..yapo chini ya Wasafi Media CEO wake akiwa Diamond Platnumz.Kuna team 32 Zilizopangwa group A-F.Leo ni ufunguzi ikianza mechi kati ya KAUZU Fc dhidi ya BUGURUNI UNITED..Tupeane updates hapa za matokeo ya kila mechi na vipaji vinavyooneshwa ili kufungua njia kwa vijana wetu katika soka la kulipwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app