Updates: Kivumbi Cup 2020

Updates: Kivumbi Cup 2020

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa ajili ya michuano ya Kivumbi Cup 2020 amabayo mshindi ataondoka na 20M/=..yapo chini ya Wasafi Media CEO wake akiwa Diamond Platnumz.Kuna team 32 Zilizopangwa group A-F.Leo ni ufunguzi ikianza mechi kati ya KAUZU Fc dhidi ya BUGURUNI UNITED..Tupeane updates hapa za matokeo ya kila mechi na vipaji vinavyooneshwa ili kufungua njia kwa vijana wetu katika soka la kulipwa
IMG_20200307_163438_084.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa ajili ya michuano ya Kivumbi Cup 2020 chini ya Wasafi Media.Kuna team 32 Zilizopangwa group A-F.Leo ni ufunguzi ikianza mechi kati ya KAUZU Fc dhidi ya BUGURUNI UNITED..Tupeane updates hapa za matokeo ya kila mechi na vipaji vinavyooneshwa ili kufungua njia kwa vijana wetu katika soka la kulipwaView attachment 1379980

Sent using Jamii Forums mobile app
. Sasa hapa sijaelewa, hii ni ndondo Cup imebadilishwa jina au michuano mipya?
 
Leta updates hapa, mambo yameendaje huko bandali
 
Hivi ndivyo Mashabiki walivyojitokeza kwa wingi uwanja wa Bandari mapema leo Kwenye mechi kati ya KAUZU Fc vs BUGURUNI UNITED na Kauzu kushinda 3-1
IMG_20200307_232528_267.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona timu nyingi zilizokuwa ndondocup ya clouds pia zipo huku.
Mil20 nyingi sana kwa team za uswazi.
 
Hii mijamaa kwa kugeza..mashindano hayana maana watu wako busy na ligi kuu
 
Back
Top Bottom