Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mpaka wengine tushasahau . . . . dah sijui wamekwamishwa na nini??!!
Jaman vipi amana? Ahadi ni deni... I hope matatizo yamepungua..
hujambo mpendwa noahism
sijambo!
i missed you
lokesheni plizzz....
Hahaha ahsante sana
mmesepa na zawadi za warembo wetu.
Wanasababisha tuwafikirie vibaya!!!!!
Mkuu charminglady sipendi kuwa mwanasiasa nitakuja PM.
tayari mimi nimewafikiria vibaya kuwa RUHawe jr ndie mu-sli haiwezekani akawa anaumwa kiasi cha kushindwa kuingia jf japo kwa post moja tu,hata huko mikoani alipoenda akawa bize kiasi hicho mimi nasema TUMELIWA !! Chezea maltple id charminglady