UPDATES KUHUSU @Ruhazwe Jr NA MISS CHITCHAT 2012.

Mpaka wengine tushasahau . . . . dah sijui wamekwamishwa na nini??!!
 
Jaman vipi amana? Ahadi ni deni... I hope matatizo yamepungua..
 
mmesepa na zawadi za warembo wetu.
 
Pole sana Ruhazwe JR son,
niliahidi kutoa zawadi ya mshindi namba 3
naomba mwongozo ili niweze kuwasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Wanasababisha tuwafikirie vibaya!!!!!

tayari mimi nimewafikiria vibaya kuwa RUHawe jr ndie mu-sli haiwezekani akawa anaumwa kiasi cha kushindwa kuingia jf japo kwa post moja tu,hata huko mikoani alipoenda akawa bize kiasi hicho mimi nasema TUMELIWA !! Chezea maltple id charminglady
 
Mmmmhhhhh.... Machale mukichwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…