hatujasepa lakini soon nikirudi mjini nitawasiliana na wewe mkuu ili nikupe ahadi yangu na ya brother kama nilivyoahidi.
..keusi...Kekundu
..keusi...
...eeeh....... ka pesa....
Mnalalamika kweli.Pesa kidogo tu inawatoa macho hadi mnapoteza upendo..si mmeambiwa alikuwa anaumwa??nani hapa.alitoka kwenda kumtazama? matatizo yapo kwa kila mtu...hata ninyi ipo siku mtajua kuwa maharage sio mboga