UPDATES KUHUSU @Ruhazwe Jr NA MISS CHITCHAT 2012.

Ilibakia kiduchu nikugongee kaLike...ila katika maelezo yako naona kama maswali yamekuwa mengi kuliko majibu
Teh teh..Uliza tu usikae na kinyongo mimi na wewe jamani..
Nakudediketia thread ya ladyfurahia ya wagombanao ndio wapatanao
 
Last edited by a moderator:
Thanks wakuu but note: nitatoa alizoahidi yeye pamoja na mimi basi! Kama nilivyoahidi hapo juu.

Mpe pole sana Lundenga wetu na wewe pia kwa ujumla kwa hayo yaliyowasibu.

naomba unipe utaratibu wa kuwasilisha ile ahadi yangu niliyoahidi kwani niulijitahidi kumtafuta Ruhazwe bila mafanikio.
 
wakuu just one thing. mimi sikuwa nahusika na mashindano ya Miss CC but huyo aliyekuwa anafanya hivyo ni my brother ndiyo maana alipopata matatizo na kiukweli yalikuwa magumu nikajitolea ku chukua sehemu ya mzigo wake na wa kwangu na kuibeba kwakuwa ni ya kwake kama kaka yangu sasa msinilaumu sana hali ya kuwa yeye kaniambia nisubiri atanipa go ahead naomba wote tuvute subira na mimi bado nipo humu japokuwa yeye haingii humu mara kwa mara.
copy to charminglady @figganiga na wengineo wote
 
Last edited by a moderator:
Mpe pole sana Lundenga wetu na wewe pia kwa ujumla kwa hayo yaliyowasibu.

naomba unipe utaratibu wa kuwasilisha ile ahadi yangu niliyoahidi kwani niulijitahidi kumtafuta Ruhazwe bila mafanikio.
Sijui kwa nini watu wanataka kushikana mashati..Matattizo yana kila mtu.. Invisible ni bora usitoe kibali tena kwa mambo kama haya...iwe ni mwisho.
 
...tuanzie hapo hapo kwenye japo kuwa yeye haingii mara kwa mara, kwanini anapo pata nafasi ya kuingi hata hiyo mara moja asieleze au kuwataka msamaha warembo wetu? Mie nasisitiza wewe na yeye ni mtu mmoja tofauti ni ID tu.
 
kwa hilo umekosea sana mkuu siyo hivyo ni watu wawili kabisa na sio ID za mtu mmoja.
 
Mu-sir kutokana na post zako nyingi zinaonyesha kuwa wewe na Jr ni zaidi ya ndugu kiasi cha wewe kujitwika majukumu yake ikiwa ni pamoja na 1.kumuuguza 2.kumsafirisha mpaka huko mikoani 3. Kumsemea hapa cc kwa niaba yake, hivyo basi ... Kutokana na undugu wenu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ktk matatizo na raha? Naomba umwambie afungue sred ya kujieleza mbele yetu na kama afya yake bado mbaya basi mwambie akupe paswd zake ili wewe uandike kwa niaba yake.
 
Last edited by a moderator:

mkuu mimi na yeye ni ndugu wa damu kabisa kwa hiyo ondoa shaka kila kitu kitakuwa sawa lakini siwezi kutumia account yake kwa vyovyote vile naamini ni privacy yake mwenyewe.
 
sawa kabisa mkuu mwambie basi aandike japo post moja katika uzi wako huu.
 
Kwanza poleni na matatizo... Vp hali yake kwa sasa???
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi na wasiwasi maana huo ukaka umeibuka baada ya malalamiko kutokea na akasema mwisho wa january but now ni mid to late february

...tuanzie hapo hapo kwenye japo kuwa yeye haingii mara kwa mara, kwanini anapo pata nafasi ya kuingi hata hiyo mara moja asieleze au kuwataka msamaha warembo wetu? Mie nasisitiza wewe na yeye ni mtu mmoja tofauti ni ID tu.
 
Anaumwa nini kwanza toka mwezi wa kumi na mbili?gonjwa la kisasa ama?

mkuu mimi na yeye ni ndugu wa damu kabisa kwa hiyo ondoa shaka kila kitu kitakuwa sawa lakini siwezi kutumia account yake kwa vyovyote vile naamini ni privacy yake mwenyewe.
 
Sijui kwa nini watu wanataka kushikana mashati..Matattizo yana kila mtu.. Invisible ni bora usitoe kibali tena kwa mambo kama haya...iwe ni mwisho.

mbona mi sioni tatizo.... kushikana mashati kwa sababu gani?? kama muhusika alipata matatizo tumvumilie na kumwombea yaishe arudi aje akamilishe kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…