Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

Duniani ukiwa na maarifa hutoangamia.
Hao wamekosa maarifa ndio maana wanaangamia kwenye mikono ya polisi.
Hiyo katiba mpya itaondoa vipi ujinga wa watanzania?
Nimekuuliza swali hapo juu badala ya kujibu swali unapiga porojo!WTF!!
 
Imagine wanasiasa kulalamikia waumini walioko kanisani....Hawa watu wana agenda ya siri nadhani

Umasikini unatusumbua sana
Tunapenda ushabiki bila kureason.
Unapelekaje siasa kanisani (kuvaa sare za chama kanisani kweli???) Pumbavu kabisa.
Au ni waimba kwaya? Ndio wanavaa sare
 
Reactions: Ame
Dola inamchinganisha rais na makanisa na wananchi, anatengenezewa uadui kuelekea 2015..
 
Nimekuuliza swali hapo juu badala ya kujibu swali unapiga porojo!WTF!!
Umasikini unatusumbua sana
Tunapenda ushabiki bila kureason.
Unapelekaje siasa kanisani (kuvaa sare za chama kanisani kweli???) Pumbavu kabisa.
Au ni waimba kwaya? Hao ndio wanavaa sare kanisani.

Bro! Heshima ifate mkondo wake tu hamuna namna.
Kanisani kuna watu hawana vyama vyasiasa.
Wamo wa vyama vingine tofauti ,
Kanisani ni sehemu ya kupata tumaini kiroho kupitia ibada nasio habr za katiba.

INGIENI BARABARANI KUTAKA HIYO KATIBA NA SIO KANISANI.
JITOENI MHANGA KWA MASILAHI MAPANA YA TAIFA YA LEO NA KESHO YA WATOTO WENU. hapa Jf mnapoteza muda tu
 
Uapelekaje siasa kanisani (kuvaa sare za chama kanisani kweli???) Pumbavu kabisa.
Au ni waimba kwaya? Hao ndio wanavaa sare kanisani.
Kinachokusumbua wewe ni akili fupi.Hapo juu nimeshakuambia kuwa Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria na wala siyo kwa mujibu wa matamanio yako wewe.Wao kuingia kanisani na Sare za chama kuna sheria wamevunja?
 
Tuleteeni video za hayo mahojiano ya POLICE na ya OCD ili na sisi tujue pa kusimama na watanzania wenzetu

Kwa maneno haya matupu ni ngumu kuamini sababu CHADEMA NI KIWANDA CHA KUTENGENEZA UONGO
Kuna wakati mtu unatafakari unashindwa kuelewa kama upinzani wetu ni sifuri kiasi hiki na bado ati una ndoto za kuongoza taifa.

Kwamba siku hizi hata ibadani wanaenda na sare za chama. Na askofu anakiri kupokea "sadaka za wanachadema" na kisha kuwakaribisha chakula! Kwamba ibadani siku hizi kuna watu special wakitoa sadaka na kutambuliwa kwa itikadi zao za vyama na wanakaribishwa hadi lunch na baba askofu. Kesho wengine wakienda kwa makabila yao ni poa tu nadhani, baba askofu awakaribishe lunch.

Ila poa, ili mradi Uhuru wa kisiasa upo, mama anaupiga mwingi sana.
 
Kanisa lipo makini mno,naimani viongozi wa kanisa hawatakubali kuingizwa kwenye mzozo wa kisiasa na hawa Chadema ambao sasa wanataka viongozi wa kanisa eti ndo wakadhamini hao waliokamatwa.
 
Jeshi la Polisi Tanzania waache kutumiwa na CCM , hawaoni wenzao huko Zambia vyombo vyao vya dola vya ulinzi na usalama vilikataa kutumika vibaya na chama tawala kilichongolewa tarehe 12 August 2021.
La Zambia ni katiba nzuri aliyoitengeneza kaunda.
 
Kanisani unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote b*ya wewe...uwe mwanajeshi...ccm, kanzu nk. ili mradi iwe imekusitiri vizuri
 
Kanisani unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote b*ya wewe...uwe mwanajeshi...ccm, kanzu nk. ili mradi iwe imekusitiri vizuri

Hujielewi
Wapi nimeandika kanisani unaenda uchi?
Hujui maana ya sare?
Sare ni utambulisho wa mtu kwa jambo fulani?

kanisa na siasa wapi na wapi?

Itawachukua muda sana kuwa na akili hamujui mnachokitaka mpompo tu kama mizimu ya wasakatonge.
 
Ndiyo maana nakuambia boya wewe...kanisani hata sare ya chama inaruhusiwa...umesikia alichosema askofu lakini
 
Huwezi kuwapangia watu wavae nini kwa sababu haikufurahishi...
 
Kwani kuna ubaya gani kanisa halina chama.Wamenda kama chama kufanyiwa maombi sivibaya.

Huo utaratibu umeanza lini?
Mnaombewa nini?
Maombi yenu hadi yafanyikie kanisani, sehemu ya ibada?

Siku mkijua mnachokitaka, kwanjia gani, kwa wakati gani na kwakiongozi gani mtakuwa wapinzani sahii lakni sahivi tunawaona kama upepo tu.
 
Ndiyo maana nakuambia boya wewe...kanisani hata sare ya chama inaruhusiwa...umesikia alichosema askofu lakini

Huyo askofu ndo walewale tu
Hawajui maana ya uongozi katikaa nyazifa zao.
AU hujui kama wajonga wapo hadi kanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…