Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

Wale waliokuwa wakishangilia salamu mpya kwa jina la JMT, sasa ndiyo wanapaswa kutambua ya kwamba ilikuwa ni ya kishetani ambayo ipo kinyume na Jina lile kuu kuliko majina yote mbinguni na duniani.
 
Huwezi kuwapangia watu wavae nini kwa sababu haikufurahishi...

hatuwapangii bali
Kila jambo liwe na mahali pake kaka.
Huwezi kutumia ndoo ya chooni kutunzia maji ya kunywa hata kama matumizi ya ndoo ni kutunza maji..
 
Huo utaratibu umeanza lini?
Mnaombewa nini?
Maombi yenu hadi yafanyikie kanisani, sehemu ya ibada?

Siku mkijua mnachokitaka, kwanjia gani, kwa wakati gani na kwakiongozi gani mtakuwa wapinzani sahii lakni sahivi tunawaona kama upepo tu.
Umesahau mwendazake alikuwa anafanya nini kanisani?
 
Kwanini ni kanisani tu na sio msikitini ! ?
 
Umesahau mwendazake alikuwa anafanya nini kanisani?
uliwai kumuona kavaa kijani kanisani? Leta evidence
Lakini pia yeye alikuwa na nyazifa gani?

Kijana haya unayoyaona yanatokea ninmatokeo ya ujinga na umaskini.
 
Kwa akili zangu za kubumba , Kuna kitu kinatengenezwa ili mtu achafuke haswa na anuke kila Aina ya uozo na harufu asifae Tena kwa kazi bali arudi kwao kuogelea ama kwa maksudi kabisa anayafanya yeye ili atimue watu kwa kupata kusingizio.

Sitaki uniamini Ila ni akili zangu zinanituma hivyo sijui ni uchovu wa safari hata sielewi 😢😢😢😢😢
 
Umuhimu wa Polisi ni Mkubwa sana Duniani. Lkn nitamlaani Mtoto wangu akijiunga na Polisi Tanzania.
 
uliwai kumuona kavaa kijani kanisani? Leta evidence
Lakini pia yeye alikuwa na nyazifa gani?

Kijana haya unayoyaona yanatokea ninmatokeo ya ujinga na umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…