Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Ahahaha,aisee machalii angu mbona bado usiku?
m4c
m4c
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha,aisee machalii angu mbona bado usiku?
m4c
usiku wakati tumekesha kujenga jukwaa na kupeana mikakati...
usiku wakati tumekesha kujenga jukwaa na kupeana mikakati...
Habari Wanajamvi.
Leo ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu hapa Mkoani Arusha, pale ambapo mgombea wa Urais kwa tiketi ya Ukawa Ndugu Edward Lowassa atakapotambulishwa rasmi mkoani hapa.
Hakika maandalizi yamekamilika kwa asilimia 100%, Mkutano huu pia utashuhudia maelfu ya wanachama wa ccm mkoani hapa wakirudisha kadi zao na kuhamia rasmi Chadema.
Makamanda karibuni ili tupeane updates na kujulishana kile kinachoendelea.
Updates:
Baadhi ya wanachama wamepiga kambi karibia na KIA ili kupata fursa ya kujumuika vizuri hapo baadae.
Jopo la Wanahabari wa Chadema ndio tumeingia mda huu Arusha Tutariport moja kwa moja tukio hili
mkutano utafanyika uwanja upi?