Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

Nafurahi kwamba mmeleta walinzi wa kura za CHADEMA kwahiyo hatutarajii visingizio na simulizi za kuibiwa kura tena!!!

Atakayeshindwa akubali matokeo
 
magwanda msikimbie jamvi keshokutwa

hawawezi kukimbia hawa, bado watakuja kulalamika kwamba wameibiwa kura (ingawaje wanajigamba wameweka ulinzi) na kwamba wataitisha maandamano ya nchi nzima!!!
 
Mods: na uongozi wote wa JF tunawaomba hii thread kutoka Jikoni muiache mpaka baada ya uchaguzi wa Igunga!
Kwanza tunashukuru CDM mmepelea watu wenu makini kulinda kura zenu hatutaki tena kusikia kuwa eti tumeibiwa kura
 
Nimeamshwa na mwanangu nipate updates usiku huu.Nashkuru sana.Na mwanangu wa miaka 4 anashkuru sana

Ngoma ya watoto................................!!!! Duh, dogo wa miaka 4 hadi saa 5 usiku hajala?! au dogo alikumbwa na jinamizi ndoto kwamba dad (CDM) anakula kichapo ikabidi ashituke na kupiga kelele...!!!!
 
Nimeamshwa na mwanangu nipate updates usiku huu.Nashkuru sana.Na mwanangu wa miaka 4 anashkuru sana

Angalia kesho jioni akiulizia matokeo ya Igunga usimchape makofi ukamwambia hana heshima anawatania wazee wake!
 
Mods: na uongozi wote wa JF tunawaomba hii thread kutoka Jikoni muiache mpaka baada ya uchaguzi wa Igunga!
Kwanza tunashukuru CDM mmepelea watu wenu makini kulinda kura zenu hatutaki tena kusikia kuwa eti tumeibiwa kura

Nami nimefarijika zaidi nilipowasikia NEC wakiwaruhusu watumie mawakala kutoka nje ya Igunga!!! Tena natamani hata walinda usalama (polisi) wawachague wenyewe.
 
Mwambieni mjomba na washirika wake kuwa wanawe na kuogea sabuni zenye manukato yote na kama haitoshi watumie hata jiki lakini mbaazi kwa walizokula mashuzi yatawaumbua.
Tuwazomeee mafisadi wote wa ccm! Muongo ni muongo tu usimwamini hata akisema ukweli.
WAR FRONT CHADEMA LETS GO...!
 
Da Mungu ijalie Cdm ishinde na wapofushe wezi wa kura Ccm wakati wa mchakato mzima hyo kesho.
 
naaminia kikosi kazi kilicho igunga maana vijana wameamua sasa.
 
Back
Top Bottom