Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Thank u, cha msingi tu ni kwamba wasichakachue. Makamanda endeleeni kupiga kazi hadi matokeo yatangazwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwembwe hizo! msemaukweli ni matokeo ya mwisho.
magwanda msikimbie jamvi keshokutwa
Anatakiwa kupigwa mawe huyo.
Nimeamshwa na mwanangu nipate updates usiku huu.Nashkuru sana.Na mwanangu wa miaka 4 anashkuru sana
sio hivyo bwana sisi tunasema pipoooooooooooooooooooooooooz powaaaaaaaaaaaaaaaa!
Nimeamshwa na mwanangu nipate updates usiku huu.Nashkuru sana.Na mwanangu wa miaka 4 anashkuru sana
Mods: na uongozi wote wa JF tunawaomba hii thread kutoka Jikoni muiache mpaka baada ya uchaguzi wa Igunga!
Kwanza tunashukuru CDM mmepelea watu wenu makini kulinda kura zenu hatutaki tena kusikia kuwa eti tumeibiwa kura
Angalia kesho jioni akiulizia matokeo ya Igunga usimchape makofi ukamwambia hana heshima anawatania wazee wake!
Si ajabu atata kumani kwenda kumpima DNA!
Ha! Ha! Ha! Ha!
njoo nikupe hela ya chai.Achana na kujidhalilisha