UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Maeneo haya kila mwaka.ni kawaida kujaa maji..... Plus na pamba house kule imalaseko


Bila kusahau cbe

Ila hakuna jitihada zozote miaka na miaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni kukomaa na Vifusi na mitaro ya maji kwa muda,
Kuna mradi umetengwa dola mil100 kwa kuboresha mto msimbazi,nadhani upo karibu kuanza kwa mujibu wa taarifa za mitandao.
 
😄😄😄😄😄
Usicheke mkuu, ni hatari hii.

Yaani ukiona mvua inaanza kunyesha kama ulikuwa umesimama au kutembea unatamani uingie hata nyumbani kwa mtu utulie kwa muda.....Hahahaha!

Kuna kipindi cha nyuma kidogo, nafikiri ilikuwa 2009 kuna kijana alikuwa nje huku mvua yanyesha + radi, ikapiga radi moja hatari hata kwa mtu aliyekuwa kalala nafikiri alitafuta pa kukimbilia. Basi yule kijana kakimbilia ndani ile anaufikia mlango tu kuingia ndani radi ikamfuata nyuma na kupasua mlango. Bahati nzuri yule kijana alianguka chini ndo pona pona yake...Baadaye kuliripotiwa vifo na majeruhi kutokana na radi ile.

Halafu cha ajabu tunaogopa muungurumo wa radi, cha kuogopa ni ule mwanga..Muungurumo unafuata baada ya ule mwanga.
 
Mimi nimechoka kushauri kuanzia serikali Hadi watu binafsi Mimi kila siku.nashauri serikali ihamasishe watu kununua helikopta serikali haisikii na watu hawasikii wamekazana tu kununua vigari Vitz nk

Watu wakinunua helikopta gharama za ujenzi wa barabara zitashuka na kelele Kama hizi za ohhh barabara ya wapi haipitiki hazitakuwepo .

Ngoja nikajipumzikie kwa Bibi Bukoba Nikaangalie na helikopta yake aliyonunua juzi new model
 
Wingu lote limeamia Unguja kutokea Bara, mvua ya maana inakunya mpaka muda huu wa mchana na kwa hali ilivyo haikati leo.
 
Duh, sasa unaingizaje kipato?

Huku wengine sisi ikinyesha tukafunga ofisi basi kwenye daftari upande wa kilichopatikana unasoma NIL.

Nauza Kwwa wateja wangu napata mapato.
 
Wingu lote limeamia Unguja kutokea Bara, mvua ya maana inakunya mpaka muda huu wa mchana na kwa hali ilivyo haikati leo.
Kwa hiyo unataka muungano uvunjike kwa sababu ya mvua kubwa inayotoka bara au? Nyie wapemba huwa hamkosi visingizio vya kutaka kuvunja muungano
 
Hi radi ya leo imenifanya nihame location Mara sebuleni Mara chumbani Mara uvunguni..imejua kunihangaisha na uzee huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda Kyela kwa zile radi hulali wewe. Dah ila kuna mzee mmoja alikuwa anatoka nyumba moja kwenda nyingine mida ya kama saa tatu usiku hivi ikapiga radi moja matata wala haikumlenga yeye ila kutokana na kile kishindo yule mzee aliondoka jumla hili nikilikumbuka nasema hii dunia ina mengi.
 
Back
Top Bottom