UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Hii ni magomeni MapipaView attachment 1294921View attachment 1294922
IMG_20191217_075505.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ukiondoa Osterbay na Masaki kulikobaki kote ni slums. Hamna miundombinu wala mazingira rafiki kwa mwanadamu kuishi.

Cha kushangaza tangu mwaka 1962 tulipoanza kujitawala hakuna sehemu tumeweza kujenga mji au kuendeleza sehemu za miji yetu kufikia ile level ya mkoloni.

Kwenye miji yetu yote sehemu zote liveable ni zile alizojenga mkoloni.
 

Jr[emoji769]
Mmmmmhhhh Kumbe kijana wa gamboshi sintosahau rfa asimulia ukweli!! Ukiguswa na maji unakufa
 
Back
Top Bottom