Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
DARAJA LINAJENGWA BAHARINI LABDA LITASAIDIA KUPUNGUA MAFURIKO JANGWANINawaza kwa sauti kama Mkoloni angeendelea kututawala basi pale jangwani angeshajenga daraja, ila serikali ya ccm tangu imeingia madarakani wanapatazama tu pale hawachukui hatua sijui wanatuchukuliaje watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app