Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
Hahahaha! Kila la kheriAisee itabidi niende kipindi cha mvua nikashuhudie ila naweza nikafa na uwoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha! Kila la kheriAisee itabidi niende kipindi cha mvua nikashuhudie ila naweza nikafa na uwoga
Acha uongo unafananisha Beijing, London, Paris na hiyo takataka Dar ...
Hiyo Dar hata haijaifikia Pretori hapo south AFRICA ndio iwe Paris ... Watanzania tokeni nje ya nchi walau hapo south Africa mujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii radi ya leo imenifanya nihame location Mara sebuleni Mara chumbani Mara uvunguni..imejua kunihangaisha na uzee huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnanuna nuna hivyo unafikiri mvua itawakiaje! muwe mna frurahi siku zingine siyo kila siku kununa tu! Just kidding! 😀 😀 😀Ununio hakuna mvua..
Nipo singida wakuu nawapata fresh kupitia Uzi huuuKama mnanuna nuna hivyo unafikiri mvua itawakiaje! muwe mna frurahi siku zingine siyo kila siku kununa tu! Just kidding! 😀 😀 😀
Kama wewe ni Mkristo, usingeandika hivyo! Pole sanaDah...braza...hakuna tatizo lolote...Kuna sheria/kanuni za kutumia herufi kubwa katika herufi za kiingereza (a,b,c...) Jina lolote linapaswa lianze kwa herufi kubwa..Kama Mungu, Maiko, Shetani, Chato nk yote yanatakiwa yaanze kwa herufi kubwa...
Tuache kukariri kusiko na maana...
"How To Use Capital Letters | Lexico" How To Use Capital Letters | Lexico
Sent using Beretta ARX 160
Poleni...swala la usafiri lilikua moja ya sababu kubwa ya kufanya maamuzi magumu katika ajira niliyopata...