UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Nani kakudanganya, majiji kama London, New York, Florida, Beijing, Berlin nk yaliyojengwa kwa mpangilio yanapata mafuriko ndo Dar kushindwe kutokea? Kwanz ufahahmu kuwa Dar ni low land area kwahiyo mafuriko lazima kwasbabu maji yanatembea taratibu, Dodoma iko katika highland maji yanatembea haraka na hutoweza kuona mafuriko.
Mwisho ujue kuwa maji hayazuiwi na hufuata mkondo wake.

Bro umeandika kwa sauti kubwa sana, kunywa maji upooze koo.
 
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.
Na watu wa Dodoma mmeanza kuivimbia dar? 😂 😂 😂 kweli maajabu hayaishi.
 
Pia kumbuka herufi ndogo kama mungu sio Mungu aliye hai ni mungu wa dunia(Shetani) jitahidi kuandika herufi kubwa majina kama Haya Mungu na wala sio mungu au uandike herufi kubwa yote kama hivi MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...braza...hakuna tatizo lolote...Kuna sheria/kanuni za kutumia herufi kubwa katika herufi za kiingereza (a,b,c...) Jina lolote linapaswa lianze kwa herufi kubwa..Kama Mungu, Maiko, Shetani, Chato nk yote yanatakiwa yaanze kwa herufi kubwa...
Tuache kukariri kusiko na maana...

"How To Use Capital Letters | Lexico" How To Use Capital Letters | Lexico


Sent using Beretta ARX 160
 
Baba Joseph17,Hebu Weka Mafuriko ya London Tuone ....

Weka Mafuriko ya Berlin tuone ....



Dar kwa mwaka lazima yatokee mafuriko zaidi ya Mara 5...


Naomba uniambie kati ya hiyo miji ni upi kila mwaka lazima yatokee mafuriko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forbes1990,
Kama hufuatiliaa matukioa duniani siyo kosa langu, hata kugoogle ukaona unataka likuletee we endelea kusikiliza music na umbeya mambo mengine usiwe mbishi.
 
Ukienda Mwanza kipindi cha mvua hautamaliza wiki unapakimbia. Kule radi zinaua, zinatoboa mabati na kupasua miti. Radi ikipita mahali utafikiri jogoo kaparua.
Aisee itabidi niende kipindi cha mvua nikashuhudie ila naweza nikafa na uwoga
 
Kama hufuatiliaa matukioa duniani siyo kosa langu, hata kugoogle ukaona unataka likuletee we endelea kusikiliza music na umbeya mambo mengine usiwe mbishi.
Acha uongo unafananisha Beijing, London, Paris na hiyo takataka Dar ...



Hiyo Dar hata haijaifikia Pretori hapo south AFRICA ndio iwe Paris ... Watanzania tokeni nje ya nchi walau hapo south Africa mujionee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom