UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Hata Kwetu no balaaa radi zinapiga mvua kubwa mpaka nikatoka kuenda kuhakikisha isije ikawa nimelala kumbe raia washasepa kwenye safina mi sina habari
 
Mfugale anafuga foleni
IMG-20191217-WA0087.jpeg
IMG-20191217-WA0085.jpeg
IMG-20191217-WA0084.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20191217-WA0087.jpeg
    IMG-20191217-WA0087.jpeg
    61.7 KB · Views: 2
Hata Kwetu no balaaa radi zinapiga mvua kubwa mpaka nikatoka kuenda kuhakikisha isije ikawa nimelala kumbe raia washasepa kwenye safina mi sina habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenikumbusha kuna sehem niliwahi enda ikanyesha bonge ya mvua +upepo na radi ilibidi nikae pembeni ya mlango nilihisi chochote kinaweza tokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kati tulizungumza hili daraja la mfugale wengine wakatunanga haya sasa
Kwa mtindo huu ccm ilipashwa iwe imewajibika
Tunanunua ndege
Wanasema ndio maendeleo
Ndege za mapanga boya
Hii nchi imelogwa mwanzo mwisho
 
Vyama vingi ni bora vifutwe hasa hawa Chadema ndio wamesababisha yote haya..
 
Uko sahihi mkuu.
Hata hivyo Dodoma hakuna mvua heavy kama za Dar,Dodoma ni pakame kwa kiasi chake,mvua inapiga kidogo then inapotea kama hakijatokea kitu.
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya muda mfupi uliopita tulifanya sherehe ya kitaifa kuzindua Daraja LA Tazara (tunaita flyover ya Mfugale) kwa mbwembwe na nderemo ikiambatana na vijembe vya hapa na pale kwa wale tunaita "mawakala wa mabeberu".

Lakini ajabu ni kuwa mvua ya muda mfupi Leo hii badala ya daraja kuonekana umuhimu wake na umahiri wa huyo mhandisi imegundulika kuwa ni bora pangewekwa panton kuliko hilo daraja. Jee hilo daraja nani anapaswa kulaumiwa kwa kutengeneza chini ya viwango?

Jee upembuzi yakinifu ulifanyika au ndio kama yale ya mradi wa maji Masasi mhandisi anaambiwa " mpumbavu" kwa sababu upembuzi unafanyika miezi 6 badala ya wiki 2 kama sera ya hapa kazi itakavyo?

IMG_20191217_185921.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom