UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Mr. MTUI,
Two wrong does not make it right. Na Venice wataliano wamefanya ufisadi mkubwa kuna programu ya kuzuia mafuriko kama hayo lakini rushwa inasababisha mradi wote kukwama. Pia issue ya Venice siyo daraja. Kumbuka Venice hiyo miundombinu yao ni ya miaka ya 1600's huko hapa tunaongelea daraja lililojengwa karibuni lisilo hata na miaka 3
 
Mkiandika vitu wekeni na tarehe basi. Hii kwani imetokea lini au tngu mwaka juzi wakati ujenzi haujakamilika
 
Akili za kitoto changanya na zako
How many floods happen a year in the UK?
These 2019 UK flooding statistics put numbers to the theories. As it currently stands, the residents of around 2.4 million UK properties are at risk from fluvial (river) and coastal flooding each year, while a further 2.8 million are susceptible to surface water – or pluvial – flooding.
 
Kwa mawazo namna hii sidhani nchi hii kama itafanikiwa kutimiza malengo yake kabla climate change haijawakumba wote. Drainage ya Dar Es Salaam ni kitendawili msione Serikali iliamua kuhamia Dodoma, the issue will destroy a lot of cities worldwide.
 
Yanga sio mbumbumbu waite uwanja ARENA kama simba, ARENA ni uwanja uliozibwa mpaka juu na unatumika kwa michezo mingi ya ndani kama basketball, hockey, darts,
 
Daaah Gari Inasepa ivo
 
Kwa hiyo daraja limevunjika au unaanisha nni? Au daraja limezuia maji yasitembee, na huko janbwani na kigogo nani kazuia maji ni daraja la mfugale au?
yaani kuna watu sijui wana roho ya shetani ndani mwao, mvua kunyesha si ni neema, badala ya kwenda kushika mashamba vigwaza na kulima anaanza tena kuilalamikia mvua, mvua inanyesha maji yanatiririka yanaenda zake baharini unaendelea na shughuli zao shida nini? kwani waliambiwa sasa dar imekuwa ziwa natron?
 
Back
Top Bottom