UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Nawaza kwa sauti kama Mkoloni angeendelea kututawala basi pale jangwani angeshajenga daraja, ila serikali ya ccm tangu imeingia madarakani wanapatazama tu pale hawachukui hatua sijui wanatuchukuliaje watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
DARAJA LINAJENGWA BAHARINI LABDA LITASAIDIA KUPUNGUA MAFURIKO JANGWANI

1945379_bridgepic.jpg
 
Aisee...

Kwa mwaka huu pekee mvua zimetupa hekaheka zaidi kuliko miaka yote.

Na bado hatujajifunza
Watanzania sio wafuatiliaji tu, hizi mvua TMA walishazitangaza na wakatoa tahadhari kwa mikoa ya kanda ya ziwa na ukanda wa pwani dar ikiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.
kwanza dodoma hizo mvua zinatoka wap huko? Kukame balaa.
 
Hiyo itakuwa ni Mwanza ya Malawi ila Mwanza ya Tz haiko hivyo ulivyoielezea, ki ujumla ukanda wa ziwa Victoria radi ni jambo la kawaida, mara nyingi radi ina strike eneo la ziwa sio kwenye makazi ya watu ikitokea hivyo ni nadra sana labda tuseme mara moja baada ya muongo, na sehemu inayoongoza kwa radi ukanda huu ni Kampala ila huku Mwanza radi ni za kawaida sana.
Mkuu Mwanza hii hii ya TZ..Kama haijatokea mahali ulipo basi usikatae.
 
Hahahaha hii bangi sio ya nchi hii
Mimi nimechoka kushauri kuanzia serikali Hadi watu binafsi Mimi kila siku.nashauri serikali ihamasishe watu kununua helikopta serikali haisikii na watu hawasikii wamekazana tu kununua vigari Vitz nk

Watu wakinunua helikopta gharama za ujenzi wa barabara zitashuka na kelele Kama hizi za ohhh barabara ya wapi haipitiki hazitakuwepo .

Ngoja nikajipumzikie kwa Bibi Bukoba Nikaangalie na helikopta yake aliyonunua juzi new model

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.

Nani kakudanganya, majiji kama London, New York, Florida, Beijing, Berlin nk yaliyojengwa kwa mpangilio yanapata mafuriko ndo Dar kushindwe kutokea? Kwanz ufahahmu kuwa Dar ni low land area kwahiyo mafuriko lazima kwasbabu maji yanatembea taratibu, Dodoma iko katika highland maji yanatembea haraka na hutoweza kuona mafuriko.

Mwisho ujue kuwa maji hayazuiwi na hufuata mkondo wake.
 
Back
Top Bottom