vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 615
Hapa ni kukomaa na Vifusi na mitaro ya maji kwa muda,Maeneo haya kila mwaka.ni kawaida kujaa maji..... Plus na pamba house kule imalaseko
Bila kusahau cbe
Ila hakuna jitihada zozote miaka na miaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Miradi mingi kabla haijaanzishwa kama ni ujenzi wa madaraja au miferji mikubwa ifanyike tafiti yakusuluhisha kero mbalimbali, unakuta mradi unatumia hela nyingi lakini kero inatatuliwa kwa sehemu tu.
Si useme mbagala ipi nije banaa...
Usicheke mkuu, ni hatari hii.😄😄😄😄😄
Duh, sasa unaingizaje kipato?
Huku wengine sisi ikinyesha tukafunga ofisi basi kwenye daftari upande wa kilichopatikana unasoma NIL.
Hiyo safi.Nauza Kwwa wateja wangu napata mapato.
Dar unatumia blanket?Mbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.
Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
Yaan tena kwa jinsi ulivyo sipat picha ulivokuwa unahangaika[emoji16][emoji16]Hi radi ya leo imenifanya nihame location Mara sebuleni Mara chumbani Mara uvunguni..imejua kunihangaisha na uzee huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuzidi kasi ya radi ila ile anaufikia mlango tu radi nayo ikapiga.Unamaanisha jamaa alikimbia [emoji125] [emoji125] kuzidi kasi ya radi? [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka muungano uvunjike kwa sababu ya mvua kubwa inayotoka bara au? Nyie wapemba huwa hamkosi visingizio vya kutaka kuvunja muunganoWingu lote limeamia Unguja kutokea Bara, mvua ya maana inakunya mpaka muda huu wa mchana na kwa hali ilivyo haikati leo.
We we kwa vile upo huko Dodoma ndo maana unatuchekaWazee wa "dar mzunguko wa pesa mkubwa sio kama mikoani"vipi leo hapo jangwani mmepita na boti au ndege? Shwaain mnajikuta kama mnaoshi new york kumbe mnaishi matopeni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23], mkuu una bifu gani na sisi?Wazee wa "dar mzunguko wa pesa mkubwa sio kama mikoani"vipi leo hapo jangwani mmepita na boti au ndege? Shwaain mnajikuta kama mnaoshi new york kumbe mnaishi matopeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda Kyela kwa zile radi hulali wewe. Dah ila kuna mzee mmoja alikuwa anatoka nyumba moja kwenda nyingine mida ya kama saa tatu usiku hivi ikapiga radi moja matata wala haikumlenga yeye ila kutokana na kile kishindo yule mzee aliondoka jumla hili nikilikumbuka nasema hii dunia ina mengi.Hi radi ya leo imenifanya nihame location Mara sebuleni Mara chumbani Mara uvunguni..imejua kunihangaisha na uzee huu.
Sent using Jamii Forums mobile app