UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Vigwaza utafikaje akati barabara zinajaa maji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''London is among the cities identified as being at risk of major flooding, according to a new report.
Sea levels are expected to rise by over 40cm unless global warming is limited to 1.5C above pre-industrial levels, the more ambitious target set by the Paris climate agreement.

An analysis released by Christian Aid as nations meet in Korea to finalise a major UN climate change report concerning the 1.5C target looks at some of the coastal cities most at risk.''' ………….

 
Mvua kama hizo zikukute huna chakula wala hela mfukoni ndani utajuta kuzaliwa mamaee ........njee hakutokeki,hela huna njaa inaumaa dahhh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda kulalamika saana.

Kwa hiyo ikija hata tsunami tutailalamikia serikali kwanini inavunja miundombinu.
 
Jamani tafadharini nimeweka nyavu zangu hapo, si mnajua leo Bahari yote IPO hapo na misamaki kibao😆😆😆😆
 
Kwa mawazo namna hii sidhani nchi hii kama itafanikiwa kutimiza malengo yake kabla climate change haijawakumba wote. Drainage ya Dar Es Salaam ni kitendawili msione Serikali iliamua kuhamia Dodoma, the issue will destroy a lot of cities worldwide.
Hopeless. Hiyo ndio 'justification' ya kuhamia Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…