TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Vigwaza utafikaje akati barabara zinajaa maji?yaani kuna watu sijui wana roho ya shetani ndani mwao, mvua kunyesha si ni neema, badala ya kwenda kushika mashamba vigwaza na kulima anaanza tena kuilalamikia mvua, mvua inanyesha maji yanatiririka yanaenda zake baharini unaendelea na shughuli zao shida nini? kwani waliambiwa sasa dar imekuwa ziwa natron?
Sent using Jamii Forums mobile app