UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Ndiyo maana ikaitwa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao kwao kila mkaazi wa hizo sehemu ndani ana mtumbwi wa first aid
Kweli, Lakini hapo Dar sio kila eneo wanapata mafuriko, kuna maeneo hayo kila msimu wa mvua lazima kufurike na inafahamika sababu ila hakuna hatua zinachukuliwa.

............Kuna raia wanaitwa wakazi wa Mabondeni mafuriko kila msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha yakishuka watatia aibu
Nasikia barabara za awamu ya tano nazo hazipitiki wakiti huu wa msimu wa mvua?! Au zilhamishiwa mwanza kwa muda kwenye mapokezi ya ndege ?!
Huwa nasikia barabara, mara flyover mvua ndio hizi, hizo barabara ziko wananchi tupite?!
 
Achana na maccm mashetani na jiwe lao,wao usanii kwao ndio kila kitu,hakuna kitu hapo na ipo siku daraja lenyewe litaja katika msipaamini sana hapo?kinachopitia mikono ya maccm kimelaaniwa. Chakaza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana karibu miradi yote vinajengwa vijimitaru utafikiri ni vya kukusanya maji ya kutoka kwenye gutter! Wahandisi hizo kozi mnaokota? Fizibility stadi mnakula posho tu au mnafanya na analisisi, data colekisheni, mmisha zikolekti mnazianalaiz?

Afadhali ya mbuzi, anakula majani anatengeneza karanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…