Sasa na yeye anatumbua wakurugenzi kwanini kwa majengo kujengwa chini ya kiwango wakati wao sio WAHANDISI?
Mkuu, ishu sio utaalamu. Ishu ni dhamana uliyobeba ya kusimamia wataalam.
Nani sasa kapewa hiyo dhamana ya kusimia wataalam?
Sikiliza mkuu katika mambo ya Engineering ninayo ijua mimi huna haja ya kusimamiwa na mtu yeyote yule. Ni swala la kuwajibika kwa kuchukua maamuzi mazito katika process.
Mkuu nafikiri unasafiri na vyombo vya moto na vyenye speed kubwa kama ndege, gari, pikipiki, treni na meli. Tu assume unasafiri na ndege, je, kama ndege itakuwa inaanguka mara kwa mara utapanda tena ndege wewe?
Cha kustaajabu ni kwamba maengineer wa ndege wanahakikisha kuwa ndege ina fly salama na comfortable ili passenger na ndiyo custormer wao number one naye aweze kusafiri salama na bila kuwa na wasi wasi wowote ule na maisha yake. Hiyo inaitwa responsibility and accountability at the same time, ya kazi.
Sisi watu wa mechanical Engineering kwa mfano tukiwa katika development of a new product, tuseme a System or sub System of any machine, kuna taratibu mbili za utendaji kazi ambazo zinatumika;
njia ya kwanza ni ya kuwork pamoja na Industrial Designers kwa mfano katika deshbords za magari, car body na kadhalika na jia ya pili ni sisi wenyewe on our own kubuni structer of any componet kulingana na function ya hiyo component au Part, in fact it is a Part, inaitwa component ikiwa integrated kwenye assembly au subassebly kwa kutumia special Tools based on the Finite Element Methodes FEM kwa ajili ya calculation na Simulation na pia Computer Aided Design CAD kwa ajili ya modling, yaani kwa lugha ya kitaalam construction.
Lakini kwa upande mwingine nawashangaa hawa macivil Engineer wetu hawana hata ile sentiment ya kuona kama elimu walio ipata na maarifa yao ni muhimu sana kwa maisha na maendeleo ya jamii yetu na wao wenyewe wakiwemo kwa ujumla. Badala ya wao kuwa constructive wanakuwa destructive. Si elewi ni kwa nini?
Mimi kwa mfano kwenye projects nazofanya au kuparticipate itokee customer mmoja kutoa reclamation ya part au subassemby ambayo nime create au ku-participate katika kui-construct, na watu wa quality contral Management, au a Team Leader akanipa habari kuwa Baby wangu ana matatizo kwa hiyo ina bidi niifanyie marekebisho, mara nyingi nakuwa niko down sana. Yaani najisikia vibaya mno kiasi kwamba nakosa usingizi. Najiona kama mimi ni looser wa aina fulani hivi.
Lakini hii mijitu inayo jiita wahandisi au ma civil Engineer wanatengenza vitu vibaya bila umahiri wowote na matatizo yakitokea kama ya watu kufa au kupoteza mali zao wao hata hawajali na wala hawashtuki, ndiyo kwanza inasugua mikona kufurahia tukio hilo, kwani wanategemea kutapata tena tenda ya kutengeneza au kujenga tena hilo daraja. Aisee! Utakuwa mgonjwa wa style hii.
Sasa kama wao nao wikiugua na madoctor nao wakawafanyia hivyo hivyo wao kama wao wanavyo tufanyia sisi, je watajisikiaje?
Ndiyo maana nasema kwamba hawa watu ni mazombi, hawana feeling yoyote ya kibinadam. Inasikitisha sana kuona wanasababidha jamii nzima kuangamia kwa ajili ya kutojali kwao. Ni aibu!
Sent using
Jamii Forums mobile app