UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

NI AIBU KUBWA KWELI

Tanzania HAINA ENGINEERS.

Na hata serikali inafahamu hilo, na ndio maana tangu tunapata Uhuru mpaka leo Tanzania imekuwa inazalisha Wahandisi wengi hasa miaka ya 90 lakini tenda zote kubwa au za muhimu wanapewa watu wa nje...hata wachina ambao kwa kule kwao sio Wahandisi wakubwa.

-Tazama daraja la kigamboni

-Tazama maghorofa makubwa ya kuanzia 15th floors and above.

-Tazama fly overs.

-Tazama njia za juu za treni.

- Tazama Steaglers gauge imeenda kwa Egyptians.


Sio Wahandisi tu, hata watu wa SUA ni sifuri nafuu Waalimu wa primary na secondary + Madaktari.

Engineers wa Tanzania ni wa kwenye makaratasi TU.


HATUNA WAHANDISI WENYE UWEZO WA KUTATUA MATATIZO.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, viongozi wa UKAWA lazima wakatembelee wahanga wa mafuriko kwa sababu jiji la Dar liko chini ya UKAWA kama alivyobainisha Meya ya Ubungo.
Jiji liko chini ya Ukawa kwani ndio wenye fedha za TANROAD na TARURA? mbona hata kupeperusha bendera tuu hawaruhusiwi? Hao wenyekuzuia bendera si ndio wenye kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahari ya kuyapeleka maji yote yanayotokea kwenye drainage system ipo karibu kabisa.....kwanini hao mainginia hawatafuti njia ya kukusanya maji yote na kuyaelekeza baharini?
 
Zipo wapi hizo Picha !!?。Au una zungumzia zile za Usiku mlipo kwenda kung'oa Bendera za Chadema pale Mlimani City ?
Kuna hizi pia

State agent
IMG-20191218-WA0001.jpeg
IMG-20191218-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilatha,
Huko Dar pambaneni na hali yenu maana mumelundikana kama nyumbu
By the way ukweli ni kwamba wakulaumiwa sio tu hao wasomi bali viongozi wa kisiasa pia,haiingii akilini nchi yote imejengwa ki slums yaani watu wameblock mikondo ya maji au namna ya kupitisha drainage structures ni ngumu kutokana na ujenzi holela

Serikali haitaki kutoa pesa ili kupima na kupanga matumizi sahihi ya ardhi nchini yaani ishu ya kupima viwanja inaonekana ni kwa ajili ya tabaka la wenye nacho huu kama sio ujinga ni nini.Kuna tatizo gani serikali kupima maeneo yote iwe la mtu binafsi au vyovyote ili mtu akitaka matumizi afuate kilichokuwa planned ili kukabiliana na matatizo kama hayo na mengine mtambuka ?
 
sajo,
Mkuu hizo ndio tabia za watanzania wala msiwasingizie hao yaani hao ni sampuli ya jamii yetu hata huko sekta binafsi wabongo hawajui customer care akijitahidi kasema asante na karibu tena lakini mkipishana kidogo tu ulimi utasikia sitegemei buku yako sepa haaa haaaa sasa unategemea walio ofisini wajibu vipi? hakuna ile hali ya kujali wengine ndio maana hata msafara wa wa kiongozi wa kawaida tu mtasubilishwa masaa kadhaa kama namna ya yeye kujivuna na kujionyesha kwamba yeye ni mkubwa akikohoa mnaitika,kusujudiana kwiiingi sana

Ili hayo yabadilike hasa maofisini ni kuanzisha mfumo wa ajira za mkataba tuu hii ya kumpa mtu guaranteee hata akivurunda ni hatari kwa ustawi wetu,wanawake ndio wanaongoza kwanza huwa hawataki shida wanaona unawasumbua kutekeleza wajibu wao
 
Hapa daraja la kigogo nimeona makundi makubwa ya watu yamekusanyika wakishangaa kitu huko mtoni...sijafahamu ni nini kimetokea pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa na yeye anatumbua wakurugenzi kwanini kwa majengo kujengwa chini ya kiwango wakati wao sio WAHANDISI?

Mkuu, ishu sio utaalamu. Ishu ni dhamana uliyobeba ya kusimamia wataalam.
Nani sasa kapewa hiyo dhamana ya kusimia wataalam?

Sikiliza mkuu katika mambo ya Engineering ninayo ijua mimi huna haja ya kusimamiwa na mtu yeyote yule. Ni swala la kuwajibika kwa kuchukua maamuzi mazito katika process.

Mkuu nafikiri unasafiri na vyombo vya moto na vyenye speed kubwa kama ndege, gari, pikipiki, treni na meli. Tu assume unasafiri na ndege, je, kama ndege itakuwa inaanguka mara kwa mara utapanda tena ndege wewe?

Cha kustaajabu ni kwamba maengineer wa ndege wanahakikisha kuwa ndege ina fly salama na comfortable ili passenger na ndiyo custormer wao number one naye aweze kusafiri salama na bila kuwa na wasi wasi wowote ule na maisha yake. Hiyo inaitwa responsibility and accountability at the same time, ya kazi.

Sisi watu wa mechanical Engineering kwa mfano tukiwa katika development of a new product, tuseme a System or sub System of any machine, kuna taratibu mbili za utendaji kazi ambazo zinatumika;

njia ya kwanza ni ya kuwork pamoja na Industrial Designers kwa mfano katika deshbords za magari, car body na kadhalika na jia ya pili ni sisi wenyewe on our own kubuni structer of any componet kulingana na function ya hiyo component au Part, in fact it is a Part, inaitwa component ikiwa integrated kwenye assembly au subassebly kwa kutumia special Tools based on the Finite Element Methodes FEM kwa ajili ya calculation na Simulation na pia Computer Aided Design CAD kwa ajili ya modling, yaani kwa lugha ya kitaalam construction.

Lakini kwa upande mwingine nawashangaa hawa macivil Engineer wetu hawana hata ile sentiment ya kuona kama elimu walio ipata na maarifa yao ni muhimu sana kwa maisha na maendeleo ya jamii yetu na wao wenyewe wakiwemo kwa ujumla. Badala ya wao kuwa constructive wanakuwa destructive. Si elewi ni kwa nini?

Mimi kwa mfano kwenye projects nazofanya au kuparticipate itokee customer mmoja kutoa reclamation ya part au subassemby ambayo nime create au ku-participate katika kui-construct, na watu wa quality contral Management, au a Team Leader akanipa habari kuwa Baby wangu ana matatizo kwa hiyo ina bidi niifanyie marekebisho, mara nyingi nakuwa niko down sana. Yaani najisikia vibaya mno kiasi kwamba nakosa usingizi. Najiona kama mimi ni looser wa aina fulani hivi.

Lakini hii mijitu inayo jiita wahandisi au ma civil Engineer wanatengenza vitu vibaya bila umahiri wowote na matatizo yakitokea kama ya watu kufa au kupoteza mali zao wao hata hawajali na wala hawashtuki, ndiyo kwanza inasugua mikona kufurahia tukio hilo, kwani wanategemea kutapata tena tenda ya kutengeneza au kujenga tena hilo daraja. Aisee! Utakuwa mgonjwa wa style hii.

Sasa kama wao nao wikiugua na madoctor nao wakawafanyia hivyo hivyo wao kama wao wanavyo tufanyia sisi, je watajisikiaje?

Ndiyo maana nasema kwamba hawa watu ni mazombi, hawana feeling yoyote ya kibinadam. Inasikitisha sana kuona wanasababidha jamii nzima kuangamia kwa ajili ya kutojali kwao. Ni aibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, nimekua nikiingia sana jamii forum kwa siku za karibuni, naona watu wanadiscuss mambo yasiyo na tija wakiacha kidiscuss changamoto halisi zimazowakabili kwa sasa.

Mafuriko yanayosababisha foleni limekua nu tatizo permanent na watanzania tunaokaa jijini dar tumekua kama tunataka kulizoea, sehemu ni ile ile na kila yanapotokea serikali hufanya marekebisho ya miundombinu, swali langu ni je, hao wakandarasi wanaopewa hiko kibarua huwa wanaigiza au wanafanya kazi kweli.

Lakini pia swala la uzingatiaji wa muda kwa mtanzania ni tatizo, mtanzania hata umpotezee masaa 18 hua halalamiki, anachokifanya hua anacope na mazingira. Ku adopt sio solution bali ni weakness.

Kwa kifupi kuna mda mwingi sana unapotea njiani na unaathiri uchumi ea taifa kwa ujumla.
Pendekezo kwa serikali: matatizo yenye athari ya direct kwenye jamii yapewe kipaumbele. Kwa maana tusolve yanayoonekana kwanza kabla hatujasolve yasiyoonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom