nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Hata mm imenifanya nishindwe kuusoma ujumbe vizuriHiyo sentesi ya kwanza inafanya watu washindwe kusoma kilicho chini. Sidhani kama kulikuwa na ulazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm imenifanya nishindwe kuusoma ujumbe vizuriHiyo sentesi ya kwanza inafanya watu washindwe kusoma kilicho chini. Sidhani kama kulikuwa na ulazima.
Jiji liko chini ya Ukawa kwani ndio wenye fedha za TANROAD na TARURA? mbona hata kupeperusha bendera tuu hawaruhusiwi? Hao wenyekuzuia bendera si ndio wenye kila kitu?Ni kweli, viongozi wa UKAWA lazima wakatembelee wahanga wa mafuriko kwa sababu jiji la Dar liko chini ya UKAWA kama alivyobainisha Meya ya Ubungo.
Mkoloni alikuwa na akili kuliko viongozi wetu wa leo
Kuna hizi piaZipo wapi hizo Picha !!?。Au una zungumzia zile za Usiku mlipo kwenda kung'oa Bendera za Chadema pale Mlimani City ?
Mbona ameeleweka sana na tunamsoma?Hiyo sentesi ya kwanza inafanya watu washindwe kusoma kilicho chini. Sidhani kama kulikuwa na ulazima.
NEVERBahari ya kuyapeleka maji yote yanayotokea kwenye drainage system ipo karibu kabisa.....kwanini hao mainginia hawatafuti njia ya kukusanya maji yote na kuyaelekeza baharini?
Uyo mchora ramani nae mzushi tu dar kuna lakes kweli duhTatizo wamejenga kwenye mabwawa, ramani hii Hapa
Hii picha ya zamani mkuu usitupe tangoWanaYanga shime twendeni tukazibue mitaro tunusuru Uwanja wetu.View attachment 1295178
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wamejenga kwenye mabwawa, ramani hii Hapa
Mbona mwaka uko kwenye ramani? OK mwaka 1950!! Hata jangwani kuna miaka inakuja wajukuu zetu hawataamini kuwa kulikua na maji pale
Nani sasa kapewa hiyo dhamana ya kusimia wataalam?Sasa na yeye anatumbua wakurugenzi kwanini kwa majengo kujengwa chini ya kiwango wakati wao sio WAHANDISI?
Mkuu, ishu sio utaalamu. Ishu ni dhamana uliyobeba ya kusimamia wataalam.
Ni kweli, viongozi wa UKAWA lazima wakatembelee wahanga wa mafuriko kwa sababu jiji la Dar liko chini ya UKAWA kama alivyobainisha Meya ya Ubungo.