UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Uzembe hupo, lakini “mnyonge mnyongeni hila haki yake mpeni”

Mvua inapokuwa kubwa sana si jambo la ajabu leo kwenye dunia inayodili na changamoto za global warming kukuta volumes za maji zinazoshuka kwa siku moja zilikuwa ni monthly rain average miaka kadhaa nyuma.

Katika mazingira hayo ya kupata maji ambayo yalikuwa yanaanguka ndani ya mwezi na zama hizi unaweza pata kiwango hicho hicho ndani ya siku moja flow rate zinashinda njia za mkondo wa maji na mafuriko yameanza kuwa jambo la kawaida, sio Tanzania tu.

Hila kuna mvua zingine kwa bongo sio kubwa vile na bado zinaleta ujazo wa maji katikati ya jiji ambazo chanzo chake ni uzembe wa matunzo, miundombinu chakavu na below par engineering projects.
 
Maneno Meier, Mkuu issue sio eti wameshindwa. Je wamepewa hiyo nafasi? Huwezi kuamka asubuhi ukapeleka design calculation wizara ya ujenzi, bila invitation, utaonekana chizi!

Nadhan hapa issue ni vipaumbele vyetu, hatujali sana maana hii kitu ni ya long time.
By the way, nafikiri tatizo sio mvua kubwa eti climate change, issue ni poor drainage! Hata wakiunua daraja vp kama maji hayatembei vizuri kwenye mitaro itakua kazi bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa, baada ya kusoma hapo nimekoma hapo hapo
Basi hauko curious kutaka kujua zaidi. Nilitegemea kichwa cha habari kinge ku inspire wewe kutaka kujua what is going on. Mimi chuo nilicho kwenda nilifundishwa kuwa inqwisitive.

Nasikitika kama sentensi yangu hiyo ya kwanza imekutoa mood ya kuendelea kusoma. Next time sita anza na paragraphs kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana hujui wakati hilo daraja na kituo cha mwendokasi (JANGWANI) vinajengwa waziri wa ujenzi alikuwa ni nani?
Sorry nimekupata sasa. Unamaanisha Rais mwenyewe. Uko sawa. Lakiki kumbuka kuwa Rais haja chukua PHD ya Civil Engineering. Ana PHD ya Chemestry kama sijakosea. Kwa hiyo sidhani kama matumizi ya Hooke's Law kwenye Material science anayajua vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry nimekupata sasa. Unamaanisha Rais mwenyewe. Uko sawa. Lakiki kumbuka kuwa Rais haja chukua PHD ya Civil Engineering. Ana PHD ya Chemestry kama sijakosea. Kwa hiyo sidhani kama matumizi ya Hooke's Law kwenye Material science anayajua vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na yeye anatumbua wakurugenzi kwanini kwa majengo kujengwa chini ya kiwango wakati wao sio WAHANDISI?

Mkuu, ishu sio utaalamu. Ishu ni dhamana uliyobeba ya kusimamia wataalam.
 
Ni kweli, viongozi wa UKAWA lazima wakatembelee wahanga wa mafuriko kwa sababu jiji la Dar liko chini ya UKAWA kama alivyobainisha Meya ya Ubungo.

Why blame CHADEMA on this?
CCM ndio wenye nchi na kwene Uchaguzi wa SM wamejichagua wenyewe ili WAHUDUMIE WANYONGE…!
Bashite ndo M/kiti ulinzi na Usalama Jiji la Dar…where's he?
 
Elimu ya Tanzania ni shida sana! Ukute huyu mwandishi naye ni Civil Engineer kutoka UDSM!
Hajui hata Construction industry ina-operate vipi!

Hivi mtu akiwa na Degree au ni Professor wa Civil Engineering basi akikuta tu eneo linalohitaji kufanyiwa kazi basi yeye anatakiwa tu kuanza kazi hiyo kisa ana taaluma hiyo!

Ndo maana tunasema elimu yetu ni "empty" sana inazalisha "mazombie" au tuseme " misukule yenye degree"!
Hawa aina ya mwandishi huyu wa riwaya ya Civil Engineering ndo utakuta wanaajiriwa kwenye kampuni za kichina na kusimamiwa na wachina wenye certificates katika fani husika!

Hawa ndo aina ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao wanaamini kwa elimu waliyo nayo basi wanaweza kutatua kila jambo bila mpangilio wowote!

Hata huyu mfano kesho ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam usishangae akawakusanya Ma- Professor wote wa Civil Engineering ndani ya Mkoa wake wakajenge Miundombinu na Mto Msimbazi ndani ya Dar es Salaam!
Elimu ya kukariri shida sana!
 
Maneno Meier,

Tatizo kubwa kwa watendaji wa serikali linalosababisha kupungua ama kutokuwapo kabisa kwa uwajibikaji ni uhakika wa kulipwa mshahara mwisho wa mwezi bila kujali kama mtu amefanya kazi au la;

Uhakika wa kulipwa mshahara mwisho wa mwezi ndio unaochangia

  1. Watumishi wa NIDA kujibu wananchi hovyo wanapofuata vitambulisho,
  2. Watumishi wa NIDA kuchelewesha utoaji wa vitambulisho mpaka miezi 3,
  3. Makatibu muhtasi wa ofisi za umma kutoa majibu ya nyodo kana kwamba wao ndio wakuu wa ofisi (simaanishi kuwa wakuu wa ofisi ndio wanatakiwa kujibu kwa nyodo),
  4. Madaktari na manesi kuchat na simu ilhali nje kuna wagonjwa wengi wanasubiri huduma,
  5. Manesi kutowahudumia wajawazito mpaka wengine wanajifungulia nje ya jengo la hospitali au kwenye korido za hospitali,
  6. Zimamoto kukaa ofisini hata baada ya kupewa taarifa za moto,
  7. Polisi wa kawaida kuchelewa kufika tukio la uhalifu ingawa taarifa zimetoka mapema,
  8. Posta kuiba au kupoteza mizigo ya wateja na kujibu kienyeji pale mhusika anapofuatilia mzigo wake,
  9. Watendaji wa mitaa, vijiji na Kata kuwa na majibu ya hovyo kwa wananchi ( kwa sasa wamekuwa na ubaguzi wa kiitikadi za siasa),
  10. Wafanyakazi wa mamlaka za maji kutojali upotevu wa maji kwenye mabomba yaliyopasuka,
  11. Wafanyakazi wa mamlaka za maji kutokujali upatikanaji haba wa maji kwa wananchi,
Orodha ni ndefu sana

Suluhisho ni kulipa wafanyakazi wa umma kwa upimaji wa utendaji kazi (kupitia kamati maalumu maeneo yao ya kazi) au kwa kamisheni, hii itafanya wawe wabunifu na wawajibike ipasavyo. Ni kitu kinachowezekana kabisa.
 
Fumadilu Kalimanzila,

Umejibu kienyeji sana, yaani watu wanaona mafuriko kila mwaka unataka wafuatwe na kuulizwa nini cha kufanya? Kuna profesa aliyewasilisha andiko la suluhisho wizarani au kwa mkuu wa mkoa likatupwa? Kwenye ulimwengu huu wa teknolojia, umeona clip yoyote ya mhandisi akieleza na kushauri kwa taaluma yake kipi kifanyike kuondoa hilo tatizo? Uzalendo ni kupenda nchi yako, kuwajibika kuilinda (pamoja na miundombinu yake) kama mali yako.

Ikitokea mleta mada amekuwa RC wa Dar es Salaam na akawakusanya hao maprofesa wa Civil Engineering atakuwa amewajibika kwa kufanya kile ambacho hao maprofesa wameshindwa kuwajibika nacho.
 
Sorry nimekupata sasa. Unamaanisha Rais mwenyewe. Uko sawa. Lakiki kumbuka kuwa Rais haja chukua PHD ya Civil Engineering. Ana PHD ya Chemestry kama sijakosea. Kwa hiyo sidhani kama matumizi ya Hooke's Law kwenye Material science anayajua vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa naona unamtetea Mhe Jiwe. .. kwa utetezi wako huo wa kujipendekeza , huu Uzi hautokuwa na maana endapo tukafanya nadharia kuwa kwa Sasa Rais awe JK halafu waziri ni Magu..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom