Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Uzembe hupo, lakini “mnyonge mnyongeni hila haki yake mpeni”
Mvua inapokuwa kubwa sana si jambo la ajabu leo kwenye dunia inayodili na changamoto za global warming kukuta volumes za maji zinazoshuka kwa siku moja zilikuwa ni monthly rain average miaka kadhaa nyuma.
Katika mazingira hayo ya kupata maji ambayo yalikuwa yanaanguka ndani ya mwezi na zama hizi unaweza pata kiwango hicho hicho ndani ya siku moja flow rate zinashinda njia za mkondo wa maji na mafuriko yameanza kuwa jambo la kawaida, sio Tanzania tu.
Hila kuna mvua zingine kwa bongo sio kubwa vile na bado zinaleta ujazo wa maji katikati ya jiji ambazo chanzo chake ni uzembe wa matunzo, miundombinu chakavu na below par engineering projects.