Updates: Mazishi ya Mama na safari yangu

yooooh
 
Changia na wewe ubarikiwe
 
Mkuu pole sana, nakumbuka mimi na uanaume wangu kuna nyakati nilienda chooni nikajifungia nikalia sana yaani, niliona kama Mungu ameniacha, nililia sana nikasema kwa mdomo wangu Mungu kwanini yoye haya yanipate mimi, nikamaliza nikanawa maji nikarudi ndani hata wife alijua kama nilifika mwisho wa kufikiria kwangu, nakuelewa sana sababu nishapita hiyo phase but trust me kuna nyakati zinakuja utakumbuka hizi nyakati za sasa unazopitia na kushukuru tu Mungu, kidogo changu hiko Mungu akutie nguvu zaidi.
 

Attachments

  • 1000013964.jpg
    58.5 KB · Views: 14
Mtu anamtukana Dogo hajamchangia hata mia na ukute hana hata laki ya akiba. Kama hujapitia anayopitia bora ukaushe. Siamini kama anapenda kuomba ila game imemkalia vibaya tu.
 
1.Watu wema bado wapo .

2.Umasikini mbaya na unadhalilisha
Bora uo umasikini ila unakuta jamaa ana umasikini uliojifishankwa kula mkate wa shemeji naye anaponda humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…