Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

Hapa ni mkutano wa magamba uliofanyika tarehe 17/08/2013 ambao ulipata promo ya kutosha pamoja na burudani za hapa na pale.

IMG_8218.JPG IMG_8217.JPG

Siku chache baadae (yaani leo tar. 23/08/2013) CHADEMA wamefanya mkutano katika uwanja uleule!!
993388_557307774316540_1485301530_n.jpg
599269_557308934316424_1494755880_n.jpg

My take: Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishi katika kipindi ambacho ninashuhudia CCM ikifa mbele ya macho yangu.
 
Mkuu Kimburu, shukrani sana kwa picha hizi.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Hapa ni mkutano wa magamba uliofanyika tarehe 17/08/2013 ambao ulipata promo ya kutosha pamoja na burudani za hapa na pale.

View attachment 108913 View attachment 108914

Siku chache baadae (yaani leo tar. 23/08/2013) CHADEMA wamefanya mkutano katika uwanja uleule!!
View attachment 108919
View attachment 108917

My take: Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishi katika kipindi ambacho ninashuhudia CCM ikifa mbele ya macho yangu.
 
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
Mafinga ipi unayo isema Wewe! Mboye na Lissu wamejaza watu haijawahi kutokea na alifika saa kumi wakitokea Njombe na baada ya kuhudumu walielekea Iringa mjini.
 
Makamanda wametoa somo zuri sana juu ya Muungano wetu Mungu awabariki sana.
 
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?

Wametokea SONGEA wamefika na kuhutubia saa moja NJOMBE na kisha saa nane walikuwa Makambako baada ya hapo walielekea Mufindi na walisema wtamalizia ziara yao siku hiyohiyo ya jana Mkoani Iringa, Huko wanakutana na Dr slaa, Msigwa na makamanda wendine. Kimsingi hao jamaa wametumwa kuleta ukombozi. Jana wamechakaza mikoa mitatu (2) na wilaya kadhaa za mikoa hii.

Nawasilisha.
 
Hapa ni mkutano wa magamba uliofanyika tarehe 17/08/2013 ambao ulipata promo ya kutosha pamoja na burudani za hapa na pale.

View attachment 108913 View attachment 108914

Siku chache baadae (yaani leo tar. 23/08/2013) CHADEMA wamefanya mkutano katika uwanja uleule!!
View attachment 108919
View attachment 108917

My take: Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishi katika kipindi ambacho ninashuhudia CCM ikifa mbele ya macho yangu.

Hata mtindi once ulikuwa maziwa fresh!
Bye bye sisiem ushakuwa mtindi,we need fresh milk now
 
Back
Top Bottom