LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hapa ni mkutano wa magamba uliofanyika tarehe 17/08/2013 ambao ulipata promo ya kutosha pamoja na burudani za hapa na pale.
View attachment 108913 View attachment 108914
Siku chache baadae (yaani leo tar. 23/08/2013) CHADEMA wamefanya mkutano katika uwanja uleule!!
View attachment 108919
View attachment 108917
My take: Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishi katika kipindi ambacho ninashuhudia CCM ikifa mbele ya macho yangu.
Mafinga ipi unayo isema Wewe! Mboye na Lissu wamejaza watu haijawahi kutokea na alifika saa kumi wakitokea Njombe na baada ya kuhudumu walielekea Iringa mjini.Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
Mkuu good better best haahah hadi kieleweke
good GOODER GOODEST!
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
Hapa ni mkutano wa magamba uliofanyika tarehe 17/08/2013 ambao ulipata promo ya kutosha pamoja na burudani za hapa na pale.
View attachment 108913 View attachment 108914
Siku chache baadae (yaani leo tar. 23/08/2013) CHADEMA wamefanya mkutano katika uwanja uleule!!
View attachment 108919
View attachment 108917
My take: Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishi katika kipindi ambacho ninashuhudia CCM ikifa mbele ya macho yangu.
GAMBA LAKO HALIJALEGEA? Bado unatoa pumzi