politukuyu
Member
- Jul 12, 2015
- 47
- 3
baada ya mchakato wa kura za maoni za cdm kukamilika niliondoka , tetesi zinadokeza kwamba mwakyembe ameshinda maoni ccm , hii ni habari njema sana kwa cdm kyela , tulikuwa tunamtaka sana ulingoni , ni mwepesi kuliko pamba !Mkuu kwa Mwakyembe hali ikoje au uliondoka Kyela?
Achakuposha umaa vituo vitatu tu sehemu nyingine amepata saba
tunasubiri updates za SUMBAWANGA MJINI
imekuaje?
Wana Musoma mjini wamezoea kwa jina baisikeli yakujifuniza ya Nyerere.Veda Mathayo ameshinda kwenye uchaguzi wa ndani ccm jimbo la Musoma mjini.tukutane October 25✌✌ hapa naona Nyerere hana mpizani kabisaaa..,
We mwenye ID ya ihanda vipi matokeo jimbo la kongwa kata ya mlali nghumbi iduo na sagara. Ndugai kavuna nini?
Hapo Lema hana haja ya kampeni, asubiri tu kuapishwaMatokeo ya watia nia ya Ubunge Jiji la Arusha kupitia ccm yanaonesha kuwa mpambano wa ubunge utakuwa ni kati ya Philemon Mollel(Monaban) kupitia ccm vs Lema kupitia chadema.
Tukumbuke kuwa Monaban ni Team lowassa
Mkuu tuna uhakika wa majimbo 150 mpaka sasaTutawanyoosha! watake wasitake!
Matokeo ya kura za maoni jimbo kuu la kibakwe mpaka sasa yamepatikana katika kata saba , zote Eng. Mwikola amemgalagaza Mh Simbachawene kwa kura nyingi mno, Eng ameshinda kwa fujo sehemu zote ambapo matokeo yametangazwa mfano WOTTA, WANGI, KIBAKWE ZOTE MBILI CENTER NA JUU, WINZA
Mpaka mshindi ni ENG Mwikola akifuata kwa mbali Simbachawene,