Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Arumeru mashariki John Pallangyo ambapo tunashinda kabla ya kwenda kanisani
 

Goodluck Ole Medeye Nae Ni Mkewe? James Lembeli Na Esta Bulaya Hao Wote Ni Wake Zake Lowasa? Hebu Ficha Ujinga Wako.
 

So gooooood!
 
Roger that....Nafuta kauli ya red.
Nshomile maana yake nimtu aliyesoma
kwa wenzetu wa Mkoa wa west Region au Kagera walibahatika sana kwenda shule
sasa kila wakikutana na kutambulishana kuwa fulani anatufaa kwa ajili ameelimika sana ndipo wanapotumia jina hilo
Fulani Bwana Nshomile
(na sio TUSI kabisa)

 
Bashe atakatwa kwa ccm sio raia wa tz, so atakuja cdm
 
Chalinze Municipal Council au mkoa tarajiwa wa Chalinze, nani amepita kwenye hili jimbo la Chalinze.
 
Jimbo la kalambo mkoa wa Rukwa
1. MWANANZILA
2.ROSELITA KASIKILA
3........
LAST: MBUNGE AMBAYE YUPO MADARAKANI JOSEPHAT KANDEGE
 

hebu toa ujinga wako hapa.
Hapa tupo jukwaa la siasa halafu ww unaleta habar mmu!

Ww kama unaniota endelea kuniota ntakutengeneza ipasavyo.
Jitu huna hata aibu nilikuwa sijibizan na ww lakn ww kwa kiherehere chako unaamua kunivamia.

Lakn utambue hicho kiherehere kitakupelekea mimba.
 

Ukonga umechemka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…