Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


Kamanda umeharibu...
 
Mwendelezo wa Ccm kuwa Wapinzani wakudumu Tanzania
 

Hivi lile Deni La Nbc ameshalipa huyo mbakaji wa maeneo? Yule mama yake pale ngulelo alishamtafutia eneo?
 
Wakuu Baada Ya Prof. Maghembe Kushinda Kura Ya Maoni Mwanga Jana Kumekuwa Na Taharuki Kubwa Na Tayari Kambi Ya Mnek Tadayo Wameanza Kuzishambulia Kimya Kimya Kadi Za Chadema

Akizungumza Mapema Asubuh Ya Leo Mwenyeki Kata Ya Kighare Kupitia Chadema Ray's Ndoile Amesema Amepokea Vijana Wapatao 40 Ambao Wameingia Rasmi UKAWA Hi Naona Inamsafishia Njia Bwana Henri Kilewo Kulichukua Kilaini Jimbo Hili Ambalo Ni Ngome Ya Ccm Mkoani Kilimanjaro
 
cheo cha waziri mambo ya ndani kina gundu.....hamuoni nchimbi nae yuko juu ya mawe
 
Huyo maghembe hatumtaki barabara hazipitiki hasa huko milimani, Kilomeni, Kisangara juu, ngoja tuwape ukawa, ameshinda kura ngapi?
 
Big up wana Mwanga! Tafadhali hakikisheni vijana wote wanaungana na UKAWA na kuleta mabadiliko ya kweli. Tupo mbali lkn tulihakikisha tumejiandikisha home na siku ya kura pamoja sana.
 
Ngoja nihamasishe vijana tuwspe ukawa, hivi chadema aliyepita ni Kileo au Dr. Prof. Ngoma
 
Kapita Leonidas Gama, yule Mkuu wa Mkoa mwenye uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi na kusimamia. Ni pandikizi la mtu kama Cptain John Komba. Pale CCM wamelamba dume

Pale mmechagua shati tu, hana lolote yule. Moshi alikokuwepo CDM walikua wanamburuza kila kitu, kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…