Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Nakumbuka mwaka wa 1979 mashujaa wetu walipotoka vitani waliripoti kwa mkubwa wao, walitoa taarifa yao yenye maneno machache kwamba "kazi tuliyotumwa tumeimaliza"

Vijana wetu na wamama tuliowatuma baada ya kukabidhiwa kadi za ccm katika ofisi za chama, waliopewa jukumu la kuhakikisha wanampigia kura mgombea tunayetaka kupanda naye jukwaani. Mungu mkubwa wanachama wetu wa chadema wenye kadi za CCM wamerudi kwa furaha, wametupatia taarifa kuwa "kazi waliyotumwa wamemaliza"

Mh. Lema hana haja ya kufanya kampeni tena Arusha, jukumu alilonalo sasa ni kwenda kuwashukuru wananchi wakati anasubiri kuapishwa.

Huyu Monaban ambaye hapa Arusha anajulikana kuwa mbakaji wa maeneo ya wazi kwa kujimilikisha kwa hila tunampiga asubuhi kabla ya misa ya kwanza...

Kamanda umeharibu...
 
Mwendelezo wa Ccm kuwa Wapinzani wakudumu Tanzania
 
Hivi lile Deni La Nbc ameshalipa huyo mbakaji wa maeneo? Yule mama yake pale ngulelo alishamtafutia eneo?
 
Wakuu Baada Ya Prof. Maghembe Kushinda Kura Ya Maoni Mwanga Jana Kumekuwa Na Taharuki Kubwa Na Tayari Kambi Ya Mnek Tadayo Wameanza Kuzishambulia Kimya Kimya Kadi Za Chadema

Akizungumza Mapema Asubuh Ya Leo Mwenyeki Kata Ya Kighare Kupitia Chadema Ray's Ndoile Amesema Amepokea Vijana Wapatao 40 Ambao Wameingia Rasmi UKAWA Hi Naona Inamsafishia Njia Bwana Henri Kilewo Kulichukua Kilaini Jimbo Hili Ambalo Ni Ngome Ya Ccm Mkoani Kilimanjaro
 
cheo cha waziri mambo ya ndani kina gundu.....hamuoni nchimbi nae yuko juu ya mawe
 
Huyo maghembe hatumtaki barabara hazipitiki hasa huko milimani, Kilomeni, Kisangara juu, ngoja tuwape ukawa, ameshinda kura ngapi?
 
Big up wana Mwanga! Tafadhali hakikisheni vijana wote wanaungana na UKAWA na kuleta mabadiliko ya kweli. Tupo mbali lkn tulihakikisha tumejiandikisha home na siku ya kura pamoja sana.
 
Ngoja nihamasishe vijana tuwspe ukawa, hivi chadema aliyepita ni Kileo au Dr. Prof. Ngoma
 
Kapita Leonidas Gama, yule Mkuu wa Mkoa mwenye uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi na kusimamia. Ni pandikizi la mtu kama Cptain John Komba. Pale CCM wamelamba dume

Pale mmechagua shati tu, hana lolote yule. Moshi alikokuwepo CDM walikua wanamburuza kila kitu, kila siku.
 
Back
Top Bottom