mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Ah hahahaaaa Mashaa alidanganywa na ile clip ya wananchi waliokuwa hawamtaki Ngeleja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ipi ya kumshinda msigwa iringa mjini.
Kigwangala chali.. kashinda Basheee
​SISIEM kitakachowacost ni huu mchakato wao wa kutafuta wagombea ambao umegubikwa na rushwa na mwisho wa siku kupatikana mtu ambaye wananchi hawamtaki na wananchi nao sio wajinga wanafanya maamuzi tu kwa kutumia kichinjio
tibaijuka hadi account number ambayo hela iliingia tunaijua ,nitajia akaunti number ya lowassa hela za richmond zilipoingia,ushaambiwa richmond ni kazi ya mikono ya mkuu,subiri kwenye kampeni kila kitu kitawekwa wazi
Taarifa za Rombo please
Ninachojua ni kuwa, karibia vyama vyote vya siasa vipo katika hatua za mwisho za kutafuta wagombea wake wa viti vya udiwani na ubunge kwa majimbo mbalimbali, kinacho nishangaza ni kuona wanatangaza matokeo ya kura za maoni kwa chama kimoja tu cha CCM, sijajua wamelipwa au ndo kwa sababu mmiliki wa Star tv ni kada wa CCM. Tufahamishane katika hilo.
Kimeshakufa Maziko ni october
Hivi mashine za kielektronic ni dili la nani?