Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Ah hahahaaaa Mashaa alidanganywa na ile clip ya wananchi waliokuwa hawamtaki Ngeleja
 
Musoma mjini kapita vedastus matayo,anaenda kupambana na Vincent nyerere aliempora jimbo 2010,kuna nn hapo
 
Ninachojua ni kuwa, karibia vyama vyote vya siasa vipo katika hatua za mwisho za kutafuta wagombea wake wa viti vya udiwani na ubunge kwa majimbo mbalimbali, kinacho nishangaza ni kuona wanatangaza matokeo ya kura za maoni kwa chama kimoja tu cha CCM, sijajua wamelipwa au ndo kwa sababu mmiliki wa Star tv ni kada wa CCM. Tufahamishane katika hilo.
 
​SISIEM kitakachowacost ni huu mchakato wao wa kutafuta wagombea ambao umegubikwa na rushwa na mwisho wa siku kupatikana mtu ambaye wananchi hawamtaki na wananchi nao sio wajinga wanafanya maamuzi tu kwa kutumia kichinjio
 
Matokeo Mkoa wa MBEYA
Rungwe. Kasesela
Kyela. MWAKYEMBE
Busokelo. MWAKIBETE
MBEYA DC. Nyenza
MBEYA Jiji. Kajuni
Mbozi. Zambi
CHUNYA Lupa. Mwambalaswa
Chunya SONGWE. Mlugo
 
​SISIEM kitakachowacost ni huu mchakato wao wa kutafuta wagombea ambao umegubikwa na rushwa na mwisho wa siku kupatikana mtu ambaye wananchi hawamtaki na wananchi nao sio wajinga wanafanya maamuzi tu kwa kutumia kichinjio

Ccm na Rushwa ni Sawa na Nzi na Kinyesi
 
tibaijuka hadi account number ambayo hela iliingia tunaijua ,nitajia akaunti number ya lowassa hela za richmond zilipoingia,ushaambiwa richmond ni kazi ya mikono ya mkuu,subiri kwenye kampeni kila kitu kitawekwa wazi

Hivi mashine za kielektronic ni dili la nani?
 
Ninachojua ni kuwa, karibia vyama vyote vya siasa vipo katika hatua za mwisho za kutafuta wagombea wake wa viti vya udiwani na ubunge kwa majimbo mbalimbali, kinacho nishangaza ni kuona wanatangaza matokeo ya kura za maoni kwa chama kimoja tu cha CCM, sijajua wamelipwa au ndo kwa sababu mmiliki wa Star tv ni kada wa CCM. Tufahamishane katika hilo.

umesahau kwamba mmiliki wake ni gamba?????
 
Watu walionufaishwa na serikali ya ccm hawako tayari kubadili mwelekeo. Nilikuwa naangalia jinsi shigongo alivyopigwa madongo facebook kwa kuitetea ccm
 
Masha itz high time ukubali kuachana na siasa maana jamaa zako ndo hawa wanakaribia kumaliza mda wao
 
Back
Top Bottom