Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


Wewe hujui iringa,hivyo kaa kimya
 
Ningeshangaa pia kama wangeshindwa wakati wana Ccm bila rushwa hawakuchagui
 
Iringa Msigwa ndio kila kitu na hajawai tokea mbuge kama yeye kamwe n ndhani ccm watakuwa n busara na mapenzi mema na wanairinga wakiacha kusimamsha mgombea iringa ili jembe liendelee kufanya kazi ya wanairinga.

Kazi gani? Taja angalau moja tu
 
Hahaha CCM mmefanya kazi ya kuondoa yale mabango yaloandikwa MSIGWA TENA 2015 sasa wamekutuma uje na huku kujaribu upepo unaelekeaje!

Ule umati ulojitokeza kumpokea Msigwa toka bungeni uliwahi lini kukusanyika kwa huyo kiumbe wenu?

Panua fikra zako usipime upepo
 

Abeid Kiponza ni chizi,alitu-cost sana ccm 2010
 
Last edited by a moderator:

Yaani wewe akili zako naona ni mgando sana,toka mwaka 2010 huu ni mwaka 2015, mambo mengi yamefanyika kupitia kwa mchungaji msigwa na ameshajijenga sana
 
Ukonga bao la mkono tayari kura za Patel kapewa slaa, wakati matokeo yalishafahamika
 
Si wana zile hela za Escrow (hela za mboga) ndio maana wameshinda!
 

Mchungaji msigwa kwa mbeya hana mshindani kabisa,ukijumlisha na jemedari lowasa! Poleni sana ccm
 
kwelii lakini uwezo wake mdogo sana kuongoza watu wa iringa,ubunge sio kazi rahisi kama anavyofikiri kunywa bia na kullala inbox pub,

Yaani wana iringa mbunge wao ni msigwa piga ua
 

wasilisha tu, hayo ni mawazo yako na si ya wana iringa.
 
Pia acha presure pia kumbuka nyie uko mkikosa mlicho tarajia hamchelewi kujining'iniza sasa tafadhali uwe makini mkuu maana naona kama vile unajisahau kuwa huu ni mwaka mwingine

Mwaka wenye mvua za mafuriko kwa kuwakumba wana ccm
 

Mch. Msigwa atashinda tu
 
Msingwa kwa iringa bila kustahafu kama mzee ndesa hamna wa kumtoa
Lakini ndoto zako za mchana sibishani nazo
Endelea kuishi kwa matumaini

Hata kuishi kwa matumaini siyo kwa msigwa,msigwa ni zaidi ya mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…