Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Aende zake maana ashakuwa team mafisadi. Team Lowassa na Nyalandu. Hana maana kabisa, amemuuza Dr. Slaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hiiHakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Chami kashinda Moshi vijijini. Davis Mosha kashinda Moshi mjini,Magembe,na Anne kilango wote wameshinda.Jamani mwenye habari za Chami Moshi Vijijini na Mjini.
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Kazi aliyopiga Msigwa hata agombee Mwakalebela na baba yako mzazi kama mgombea mwenza,hawashindi hata kwa kura 1
Patel nasikia kamkanyaga vibaya Jeri Silaa
Bukubo inazidi kudidimia kwa sababu ya kukumbatia CCM..Mkoa umechakaa kama chuma tambara la deki...achanane ni CCM muone...Angalia Iringa, Arusha, Mbeya, Kigoma, Kilimanjaro..na kwingine wanashine kwa maendeleo kwa sababu waliikataa CCM mapema, nashangaa jamaa zangu akina Nshomile hamzinduki....