Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

huyu paka anafikiri ubunge ni mpira wa yanga na simba msigwa habari nyingine usimfananishe na huyo fisadi wenu
 
Msigwa amefanya kazi Tayari na watu wameiona, usiwaze kienyeji kienyeji tu , Msigwa sasa ni ana identity ya Kitaifa ameshajijenga sio rahisi kumtoa kma unavyowaza...
 
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
 
Msingwa kwa iringa bila kustahafu kama mzee ndesa hamna wa kumtoa
Lakini ndoto zako za mchana sibishani nazo
Endelea kuishi kwa matumaini
 
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!

Moto wa ukawa wa gesi wa ccm wa mabua
 
Kumbuka Mwandosya alikuwa wa ngapi 2005 aliishia kukatwa 2015
 
Kazi aliyopiga Msigwa hata agombee Mwakalebela na baba yako mzazi kama mgombea mwenza,hawashindi hata kwa kura 1

Mkuu matusi si sehemu ya maisha ya muungwana...sijaona ulazima wa kumtaja baba wa mtoa mada hapa...tujaribu kuwaheshimu wazazi wa wenzetu kama tunavyotaka waheshimiwe wazee wetu.....
 
Bukubo inazidi kudidimia kwa sababu ya kukumbatia CCM..Mkoa umechakaa kama chuma tambara la deki...achanane ni CCM muone...Angalia Iringa, Arusha, Mbeya, Kigoma, Kilimanjaro..na kwingine wanashine kwa maendeleo kwa sababu waliikataa CCM mapema, nashangaa jamaa zangu akina Nshomile hamzinduki....

Acha ujinga,huko iringa na mbeya kuna maendeleo gani yaliyoletwa na wabunge waliomaliza muda wao?
Msigwa hamna kitu kabisa pale yaani hana kitu chcht alilolifanya kwa wananchi wake,sugu ndo anazidi kuwa sugu
 
Back
Top Bottom