Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Alisema Cdm itakufa mwaka 2013 lakini ameanza kukataliwa nawana Ccm wenzake huku akijiingiza kichwakichwa kwenye kiyama cha October ambapo atapata aibu kubwa
 
Duh nimekubali Lowassa ni muzee wa slash and burn. Mwaka huu
kichaka cha mafisadi aka CCM kinaangamia kabisa. Shikamoo Lowassa!
 
Mimi naona wizi huo kutokea iwe kama alarm kuwaamsha viongozi wa vyama vya upinzani hususani UKAWA kuamka katika usingizi (kama bado wamelala) kua CCM haiwezi kuacha kuiba kura hata iweje.

Hivyo ni jukumu lao kujipanga mapema, tusijipe moyo kuwa Lowassa yupo atasaidia maana wale ni wenzie hivyo hawawezi kumzidi mbinu, wanaweza kubadili strategy ya kuiba kwenye uchaguzi mkuu.
 
singida mjini wamemtangaza mazala kashinda watu pale pale jengo la ccm mkoa wakaanza kuimba peopleee power,hawajaridhika na goli la mkono so wameapa ushindi wa jimbo ni kwa ukawa.
 
ccm wanaogopa huenda huyu ni mfusi wa lowasa so kumpa ubunge anaweza kuja kujitoa
 
UKAWA Kuna Umuhimu Wa Kutumia Muda Mwingi Kusoma ni Namna gani Mtazilinda Kura. Ndio Maana Wadadisi Wa Mambo ya Siasa

Wanaema Bila Sisiem Kupasuka Vipande Vipande Ushindi Kwa Wapinzani Ni Ndoto. UKAWA Jaribu Ku-recruit Watu wa IT na Pia Ni Vema

Kakawepo Electrol Result Centre Kwa Makusudi ya Kukusanja Matokeao toka Kila Jimbo la Uchaguzi. CCM Wakitangaza Mgombea Wao

Kwa fasion ya Uchakachuaji Data Zitawasuta.
 
Kila akatwae,anahama.kwa hyo kila ahamiae chadema ana uhakika wa kushnda au?
 
1. Adadi Rajabu. 7101
2. Grace Mtunguja. 5033
3. Allen. 3002
4. Herbert Mtangi. 2502
5. Omari Mhando 2036
6. Bomboko. 1181
7. Gugu. 1165
8. Semeaiko. 1102
9. Mgaya. 692
10. Msumari. 624
11. Kopwe. 545
12. Ngoda. 302
13. Nikalange. 262

Jumla ya kura 26,214
Zilizoharibika. 107
Kura halali. 26,107
 
Hata akija atakua mwanachama wa kawaida tu yuko kijana machachari sana wa Chadema pale simanjiro (Ole Milya )
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe . Mchakato wa ukawa hakuna aloufatilia wala kuukosoa.pilipili usoila yawawashia nini.subirini oktoba ndo muongee
 
Back
Top Bottom