Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtela umetumia pesa nyingi sana uku mbozi ili upitishwe kwenye kura za maoni but umeangukia pua vibaya mno.
Umetumia milioni 6 umepata kura 3,
ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi,hivi from nowhere utoke utokako uje kuivamia ccm ovyo,
Nasikia unalalamika kuchezewa rafu,sasa ndugu yangu wewe ulipokua cdm ulilamika and now unalia tena,ebu rudi shule kafundishe.
MILIONI 6=KURA 3
akome ubishi
Loh, kweli la kuvunda halina ubani, kura moja kanunu sh. milioni 2! kweli ccm ina wenye meno, sasa una mshauri arudi kufundisha unataka watoto wetu wafundishwe UJINGA? Hilo hatutaki na huko atatolewa tu, alijidai kumuiga Juliana, akajifananisha na wa kike, amekwisha huyo mwenzie anaweza tumia njia mbadala yy je anauwezo huo?