Yaani uwoya kichwani hana kitu, hana tofauti sana na Shilole though anaunafuu kidogo, bora hata Wema Sepetu, Wema ni bright sema umalaya, umapepe na kutokuwa na maadili vinamfanya asifae kuingia mjengoni!
Mapozeo ya wazee baada Ndiyoooooòoòo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani uwoya kichwani hana kitu, hana tofauti sana na Shilole though anaunafuu kidogo, bora hata Wema Sepetu, Wema ni bright sema umalaya, umapepe na kutokuwa na maadili vinamfanya asifae kuingia mjengoni!
yaani uwoya ni kilaza kweli kweli, sijui kama dodoma kina Nape watarudisha jina lake
Ndo agizo la chairman au ni lako?
Kama makongoro aliyeiba kura zenu Segerea amepokelewa,seuze yeye
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, na Mbunge wa Jimbo la Tarime mkoani Nyambari Nyangwine, wamebwagwa katika kura za maoni (CCM) katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini katika nafasi ya Ubunge.
Mkurugenzi Msaidizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Tarime, Mathias Lugora, ametangaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Christopher Rioba, ameibuka mshindi kwa kupata kura 15,928 akifuatiwa na John aliyepata kura 12,205.
Katika Jimbo la Tarime Mjini, Maiko Kimbaki, amembwaga Waziri wa Kazi na Ajira, (Gaudensi), kwa kupata kura elfu 3908 dhidi ya kura 2411 alizopata Waziri Kabaka.
Uchaguzi katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini uliahirishwa juzi kutokana na kupatikana kwa kura zilizokuwa zimewekwa alama ya tiki kwa baadhi ya majina ya wagombea kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.
Wamekatwa na wananchi sio kitengo
huyo nyangwine hafai hatumuhitaji huyo..kazi kucheka Cheka tu
waziri wa kazi na ajira, gaudensia kabaka, na mbunge wa jimbo la tarime mkoani nyambari nyangwine, wamebwagwa katika kura za maoni (ccm) katika jimbo la tarime mjini na tarime vijijini katika nafasi ya ubunge.
mkurugenzi msaidizi wa uchaguzi wa wilaya ya tarime, mathias lugora, ametangaza kuwa mkuu wa wilaya ya arusha, christopher rioba, ameibuka mshindi kwa kupata kura 15,928 akifuatiwa na john aliyepata kura 12,205.
katika jimbo la tarime mjini, maiko kimbaki, amembwaga waziri wa kazi na ajira, (gaudensi), kwa kupata kura elfu 3908 dhidi ya kura 2411 alizopata waziri kabaka.
uchaguzi katika jimbo la tarime mjini na tarime vijijini uliahirishwa juzi kutokana na kupatikana kwa kura zilizokuwa zimewekwa alama ya tiki kwa baadhi ya majina ya wagombea kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.
Ndo agizo la chairman au ni lako?
Kama makongoro aliyeiba kura zenu Segerea amepokelewa,seuze yeye
Huyu mkurugenzi ni wa CCM au wa NEC?