Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Yaani uwoya kichwani hana kitu, hana tofauti sana na Shilole though anaunafuu kidogo, bora hata Wema Sepetu, Wema ni bright sema umalaya, umapepe na kutokuwa na maadili vinamfanya asifae kuingia mjengoni!

Mapozeo ya wazee baada Ndiyoooooòoòo.
 
Akija tutampokea sababu anatuletea kula yake na familia yake ila huongozi ndo hapati
 
UKAWA wanawasubiri field.
Mtapokea kichapo ambacho hamtaamini.
 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, na Mbunge wa Jimbo la Tarime mkoani Nyambari Nyangwine, wamebwagwa katika kura za maoni (CCM) katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini katika nafasi ya Ubunge.

Mkurugenzi Msaidizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Tarime, Mathias Lugora, ametangaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Christopher Rioba, ameibuka mshindi kwa kupata kura 15,928 akifuatiwa na John aliyepata kura 12,205.

Katika Jimbo la Tarime Mjini, Maiko Kimbaki, amembwaga Waziri wa Kazi na Ajira, (Gaudensi), kwa kupata kura elfu 3908 dhidi ya kura 2411 alizopata Waziri Kabaka.

Uchaguzi katika Jimbo la Tarime mjini na Tarime Vijijini uliahirishwa juzi kutokana na kupatikana kwa kura zilizokuwa zimewekwa alama ya tiki kwa baadhi ya majina ya wagombea kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.


Huyu mkurugenzi ni wa CCM au wa NEC?
 
Wageni hao majirani, wameshakatwa wapeni namba ya mbowe
 
Namuona HECHE ktk bunge la 10 kwa sababu opponent wake ni bwana KANGOYE ni AVERAGE saana. Lakini pia Mheshimiwa CHACHA NYAMBARI NYANGWINE ameeleza kutokuridhishwa na mchakato mzima ulivyoenda kwa kuwa zilifanyika ktk mazingira ya kupakana matope. Nadhani CCM itaendelea kuumia kwa kile kinachoitwa SIASA ZA BORA TUKOSE WOTE
Nawasilisha
 
waziri wa kazi na ajira, gaudensia kabaka, na mbunge wa jimbo la tarime mkoani nyambari nyangwine, wamebwagwa katika kura za maoni (ccm) katika jimbo la tarime mjini na tarime vijijini katika nafasi ya ubunge.

mkurugenzi msaidizi wa uchaguzi wa wilaya ya tarime, mathias lugora, ametangaza kuwa mkuu wa wilaya ya arusha, christopher rioba, ameibuka mshindi kwa kupata kura 15,928 akifuatiwa na john aliyepata kura 12,205.

katika jimbo la tarime mjini, maiko kimbaki, amembwaga waziri wa kazi na ajira, (gaudensi), kwa kupata kura elfu 3908 dhidi ya kura 2411 alizopata waziri kabaka.

uchaguzi katika jimbo la tarime mjini na tarime vijijini uliahirishwa juzi kutokana na kupatikana kwa kura zilizokuwa zimewekwa alama ya tiki kwa baadhi ya majina ya wagombea kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.


we ni samweli???
 
Tunawakaribisha ukawa,karibu chadema,karibu kabaka tukunje ngumi,karibu nyangwine tukunje ngumi!!
 
Kwa Tarime Mjini na Vijijini Tayari, Seikali ya Lowassa Ina Wabunge Wawili . Matiko na Heche.
 
Nyangwine ni Mmoja kati ya walioua Elimu kwa kuchapisha Vitini vya kusomea Muhtasari wa Vitabu vya Literature badala ya wanafunzi kusoma kitabu kizima cha Literature ili kupata maudhui
 
Kwa siasa za Tarime ambazo tofauti na vyama watu huchagua mtu toka koo yake ni dhahiri John Heche ana nafasi kubwa ya kumbwaga KANGOYE.
 
Back
Top Bottom