Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Sisi wakurya hatuwezi chagua mrishya (mtu ambaye hajatailiwa kimira) tukamwacha (mumura) kama lowassa ambaye ni morani. Kwahiyo tarime tayari ni ya ukawa ccm bye bye
 
Hao waliandaa kura bandia ile jumamosi.
Leo wamerudia kupiga kura wamepigwa chini .

UKAWA wageni hao!!

Kati ya wabunge wa hovyo nilio wahi kuona bungeni na hao walio katwa walokuwemo. Nawapongeza walio wakata, wameona yale uliyo yaona sisi
 
 
Mshindani wa Ester Matiko Mr. Kembaki afadhali ajitoe tu maana hataweza mziki wa Ester Tarime Mjini.
 
Political is a dynamic game.,stated by Comrade FREEMAN MBOWE..thats happen 2 mr nyambari and kabaka
 
Wadau sijajua kama CCM wana nia njema na watu wa Mbeya jiji kwa kumpitisha mtu ambaye hadi dakika hii anashindwa kupita Mbeya Vijijini maeneo kama ya Mbalizi .

Maana aliwatapeli mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu kwa kuuza jimbo kwa CCM licha ya kushinda akauza jimbo kwa wale tuliokuwa tunafuatilia nadhani tuta kumbuka.

Haya yote leo bila hata aibu anakuja Mbeya mjini kwa tiketi ya CCM jamani hata kama bimadamu ni mwingi wa kusahau lakini si kwa Mbeya mjini hapa Sugu anatosha.
 
Wagombea wa Ukawa majimbo haya hawana haja ya kufanya kampeni, wao wanasubiri kuapishwa tu.
 
Sasa wangemsimamisha yupi katika waliojitokeza?
 
pole sana mkuu , hakuna aliyesahau kifungo chako kutokana na hasara ulizoipa FAT , kauli zako bungeni nazo zinakumbukwa , kikubwa zaidi ni kauli uliyoitoa kwenye mkutano wa timu yetu ya simba kwamba , "huna njaa " umevuna ulichopanda .
 

Attachments

  • attachment-2.jpeg
    4.4 KB · Views: 657
  • attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 656
kwa mara ya kwanza naomba niwapongeze wanaccm wa tabora mjini kwa kukataa mtu ambaye alifungwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…