Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Sisi wakurya hatuwezi chagua mrishya (mtu ambaye hajatailiwa kimira) tukamwacha (mumura) kama lowassa ambaye ni morani. Kwahiyo tarime tayari ni ya ukawa ccm bye bye
 
Hao waliandaa kura bandia ile jumamosi.
Leo wamerudia kupiga kura wamepigwa chini .

UKAWA wageni hao!!

Kati ya wabunge wa hovyo nilio wahi kuona bungeni na hao walio katwa walokuwemo. Nawapongeza walio wakata, wameona yale uliyo yaona sisi
 
Naongelea mchakato wa kupata mgombea bora; wewe unadai kachaguliwa na CCM wenyewe as if nimebishia au kuna facts tofauti na hizo, issue sio kukijua au kutokijua chama bali sifa za mgombea mwenyewe tunaye mzungumzia wewe unadhani ana faida gani kwa maslahi ya chama, Tabora na siasa za Tanzania kwa ujumla even in your lewd thoughts?

Hoja hapa ni succession planning sahihi na utaratibu wa kuhakikisha watu wanao wa promote yaani makada wao waliowalelea wanaendelezwa vipi bila kushindwa na watu wepesi kama hawa maana ata kama kushindwa basi iwe kutoka kwa mtu mwenye challenge na ana offer kitu kushinda huyo mgombea wa chama sasa wewe unadhani huyu dada ana offer kitu gani zaidi ya wengine.

Ni hivi ushindani wa siasa ni demokrasia lakini mwisho wa siku viongozi wa chama cha siasa wanataka wakisema kushoto ni kushoto hakuna kingine ndio maana uwezi kusikia msuguano wa kisera muhimu za taifa kama kuchagua kati ya serikari mbili au tatu kutoka watu wa chama kimoja kwenye mataifa yaliyofikia 'liberal democracy' kwa kuwa makada wengi wamekulia kwenye itikadi za chama na walikuwa na muda mrefu sana wakutoka kama awaziamini.

Ifikapo wakati za uchaguzi kama huu mgombea wa chama akishindwa basi huyo mshindani wake ni kwa sababu anakubalika kweli na wapiga kura locally kutokana na misimamo yake inayowavutia; lakini aiwezekani ata siku moja mtu akurupuke tu from nowhere na kushinda unless Uwoya alikuwa anafanya kazi za undercover for long time, vinginevyo ni aibu chama kutokuwa na right internal development planing hadi makada wake waweze shindwa na washindani wa nje kama hawa.[/QUOTE mkuu, hasante kwa kuliona hilo, mara zote imekuwa hivyo unalo liona kuwa tatizo, ccm bila aibu huiona kama tija! binafsi kwangu ni aibu na fedheha kuwakilishwa na mtu kama uwoya! nategemea nini kwake zaidi ya ndiyoooooooooooooooooooooooooo! chama ''kubwa kimefanya''
 
Mshindani wa Ester Matiko Mr. Kembaki afadhali ajitoe tu maana hataweza mziki wa Ester Tarime Mjini.
 
Political is a dynamic game.,stated by Comrade FREEMAN MBOWE..thats happen 2 mr nyambari and kabaka
 
Wadau sijajua kama CCM wana nia njema na watu wa Mbeya jiji kwa kumpitisha mtu ambaye hadi dakika hii anashindwa kupita Mbeya Vijijini maeneo kama ya Mbalizi .

Maana aliwatapeli mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu kwa kuuza jimbo kwa CCM licha ya kushinda akauza jimbo kwa wale tuliokuwa tunafuatilia nadhani tuta kumbuka.

Haya yote leo bila hata aibu anakuja Mbeya mjini kwa tiketi ya CCM jamani hata kama bimadamu ni mwingi wa kusahau lakini si kwa Mbeya mjini hapa Sugu anatosha.
 
Namuona HECHE ktk bunge la 10 kwa sababu opponent wake ni bwana KANGOYE ni AVERAGE saana. Lakini pia Mheshimiwa CHACHA NYAMBARI NYANGWINE ameeleza kutokuridhishwa na mchakato mzima ulivyoenda kwa kuwa zilifanyika ktk mazingira ya kupakana matope. Nadhani CCM itaendelea kuumia kwa kile kinachoitwa SIASA ZA BORA TUKOSE WOTE
Nawasilisha
Wagombea wa Ukawa majimbo haya hawana haja ya kufanya kampeni, wao wanasubiri kuapishwa tu.
 
Sasa wangemsimamisha yupi katika waliojitokeza?
 
pole sana mkuu , hakuna aliyesahau kifungo chako kutokana na hasara ulizoipa FAT , kauli zako bungeni nazo zinakumbukwa , kikubwa zaidi ni kauli uliyoitoa kwenye mkutano wa timu yetu ya simba kwamba , "huna njaa " umevuna ulichopanda .
 

Attachments

  • attachment-2.jpeg
    attachment-2.jpeg
    4.4 KB · Views: 657
  • attachment-5.jpeg
    attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 656
kwa mara ya kwanza naomba niwapongeze wanaccm wa tabora mjini kwa kukataa mtu ambaye alifungwa .
 
Back
Top Bottom