Mzee wangu Shekifu mbona sipati matokeo yake?
Pamoja na kcheza rafu zote zile pale mwanzoni hatimaye mh gaudencia kabaka aliyekuwa anagombea jimbo la tarime mjini abwagwa vibaya pamoja na mh nyambari nyangwine aliyekuwa mbunge wa tarime naye kapigwa chali jimbo la tarime vijijini. Ama kweli ccm kwishneeeeee. Sasa njia nyeupe kwa ester matik (mjini) na john heche (vjjn)
Masaburi kasema ukweli hakuna mgombea asiye na bajeti awe ccm cuf au chadema
Usipotoshe Maana wewe, Soma Vizuri Masaburi alikuwa anawasema Maccm, Kwamba Wote wametoa Rushwa including na yeye.