Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Yani hawa magamba natamani wasichukue hta jimbo moja dsm
 
Wanaanza kuibiana wenyewe kwa wenyewe halaf wanakuja kuiba uchaguz mkuu
 
Sasa yeye kusema ukweli imekuwa nongwa, hii ndo CCM yetu bana..rushwa kwetu ni jadi
 
bavicha mnaona ya CCM tu yakwenu hamyaoni. huku ukerewe kura za maoni machemli amelalamika sana wenzake kutembeza rushwa.
 
Pamoja na kcheza rafu zote zile pale mwanzoni hatimaye mh gaudencia kabaka aliyekuwa anagombea jimbo la tarime mjini abwagwa vibaya pamoja na mh nyambari nyangwine aliyekuwa mbunge wa tarime naye kapigwa chali jimbo la tarime vijijini. Ama kweli ccm kwishneeeeee. Sasa njia nyeupe kwa ester matik (mjini) na john heche (vjjn)

:amen:
 
Sipati picha na ule mwili wake wakati yupo Toi akipiga hilo bao la mkono hakuanguka kweli!!!?
 
Masaburi kasema ukweli hakuna mgombea asiye na bajeti awe ccm cuf au chadema
 
Kweli nimeamini ccm ni Chama cha hovyo kabisa, nimemsikia kwenye taarifa ya habari ITV kuwa kila mgombea alikuwa ametenga fungu la kuhonga, kuna anaoita wa buku tano, buku nne na kuna wa buku. Ukweli nimeshangazwa sana ujasiri wa mgombea kusema wazi wazi kuwa ametoa rushwa. Kwa hili ccm imevuka mipaka
 
Jamaa sijui kawaza nini,ameongea kama anazungumzia kitu halali kabisaaaa!!Hawa wagombea wa CCM ni janga kubwa.
 
Wala takukuru hawajaangalia taarifa ya habari, ila na yeye watamkata tu coz alikua timu Pinda
 
CCM wamezoea Rushwa,mpaka wanaiharalisha bila woga,ni vizuri Huyu Masaburi amekubari,itasaidia kuweka kumbukumbu
 
Usipotoshe Maana wewe, Soma Vizuri Masaburi alikuwa anawasema Maccm, Kwamba Wote wametoa Rushwa including na yeye.

Ndio mnavojidanganya nyie NYUMBU hata nikiwaambia Mwenyekiti Mbowe kavutiwa mpunga na Jambazi lowassa hamuamini.endeleeni kukaa hivyo hivyo na unyumbu wenu. Hakuna mwanasiasa ambaye hajawahi kupokea au kutowa rushwa chini ya jua.
 
amegombea ubungo makusudi ili amalizie dili lake la kuuza kituo cha mabasi ya mikoani , lakini baada ya sisi kushtuka tumemuweka kubenea , masaburi atafute kazi , kwa kubenea hatoki .
 
Back
Top Bottom