njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bwana alisha wahi kuwaambia wapiga kura wake wa kijiji cha VIANZI, kuwa mi hii cheni yangu ya shingoni nikiiuza mnakula miezi 3!!!,na hata msiponichagua lazima nitapita tu!!!Huu mwaka watu watauelewa tu. Yani mpaka huyu bwana mdogo mwenye maneno mengi ameshindwa kuwadanganya wananchi kwa mara nyingine?
Ama kweli asemaye mwaka kesho muongo.
Huyu bwana alisha wahi kuwaambia wapiga kura wake wa kijiji cha VIANZI, kuwa mi hii cheni yangu ya shingoni nikiiuza mnakula miezi 3!!!,na hata msiponichagua lazima nitapita tu!!!
Yeye badala ya kuwatumikia wananchi alikuwa anatembea na mabunduki tu na kuwatumikia machangudoa! alitegemea nini?
Aende wapi mkuu
Mbunge wa Mkuranga mkoani Pwani, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima , amesema kuwa kura za maoni zilizopigwa jimboni humo hazikuwa huru na haki kwa madai kwamba waliopiga kura walikuwa wachache lakini kura za matokeo zikawa nyingi. Amekuwa nafasi ya pili kwa kupata kura 8, 212 na mshindi wa kwanza kapata kura 16, 294
Mchakato uligubikwa na udanganyifu mkubwa, kura haziendani na uhalisia, pia mawakala hawakutia saini baada ya kumalizwa kwa upigaji kura katika vituo vyao, lakini ninaviachia vikao vya maamuzi vifanye kazi yake, alisema Malima.
Chanzo: IPP Media
Yeye badala ya kuwatumikia wananchi alikuwa anatembea na mabunduki tu na kuwatumikia machangudoa! alitegemea nini?